Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga inajumla ya shule za msingi 164 kati ya hizo 1 ya binafsi na shule 163 za serikali.
Mtihani wa kumaliza darasa la saba kwa mwaka ulifanyika tarehe 5 na 6 mwezi Septemba 2018.
Nchini kote ,shule 155 zilikuwa na watahiniwa. Halmashauri ya Wilaya ya mbinga imeongeza ufaulu kwa 4%
MBINGA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA
Namba za simu: 2552640005
SImu ya mkononi: PS 0754533018
parua pepe: ded@mbingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit