Mtanzania Mbwana Samatta anayecheza soka la kulipwa hukoUbelgiji katika timu ya Soka ya
Genk, amekuwa kinara katika timu hiyo. Samatta amesaidia timu yake kuingia kutinga robo fainali ya mashindano ya Uropa.
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit