RUANDA SEKONDARI YAAHIDI DIVISHENI I TU
Posted on: July 17th, 2024
Na Silvia Ernest
Wanafunzi wa Kidato cha tano na kidato cha sita Shule ya Sekondari Ruanda iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga wameahidi kufanya vizuri katika mtihani wao wa...