Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Mh. Kassim Majaliwa(wa kwanza kulia) Tanzania akipata maelekezo juu ya matumizi ya makaa ya mawe toka kwa Mkurugenzi wa kikundi cha Mbalawala Womeni
Eneo la Ruanga katika kijiji cha Mtunduwaro kuna mgodi wa makaa ya mawe.
Makaa haya ni fursa ya uchumi kwa wakazi wa Ruanda na Mbinga kwa ujumla.
Kuna vikundi ambavyo tayari vimewekeza katika shughuli za makaa na kuweza kusababisha ajira, kikundi cha Mbalawala women, kimejikita katika utengenezaji wa
makaa ili yaweze tumika kwa matumizi ya nyumbani.
Wananchi na wadau mbali mbali mnakaribishwa katika Halmashauri ya Mbinga kwani hifadhi ya makaa ya mawe ni kubwa.
MBINGA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA
Namba za simu: 2552640005
SImu ya mkononi: PS 0754533018
parua pepe: ded@mbingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit