Kuna namna nyingi za kuweza kupata salary slip kwa watumishi wa serikali
1. Kutumia salary portal
2. Watumishi portal.
Maelekezo ya namna ya kupata salary slip ni kama ifuatavyo.
1. Kutumia salary portal: Unatakiwa uwe umejisali kwenye portal ya hazina namna ya kujisajili bofyahapa.docx
2. Watumishi portal: Unatakiwa uwe umejisali, ili kujisajili unatakiwa uwe na email, majina unayotumia kazini na cheki namba
MBINGA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA
Namba za simu: 2552640005
SImu ya mkononi: PS 0754533018
parua pepe: ded@mbingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit