Ili kupata kitambulisho cha uraia unatakiwa ujaze fomu ya kujisajili(FOMU NAMBA 7C), fomu hii inapatikana
kila ofisi ya Mtendaji au ofisi ya NIDA. Unatakiwa uwe na nakala ya cheti cha kuzaliwa (SIO LAZIMA), Utatakiwa kuwa na fomu ya utambulisho
wa makazi.
Pia kama unavitambulisho vingine kama leseni ya udereva, kadi ya mpiga kura n.k
Zoezi la uandikishaji linafanyika kila kata na vijiji vyake vyote
MBINGA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA
Namba za simu: 2552640005
SImu ya mkononi: PS 0754533018
parua pepe: ded@mbingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit