Kata ya kitumbalomo ipo umbali wa km 65 toka makao makuu ya wilaya ya Mbinga.Kata ya Kitumbalomo ina jumla ya wakazi 13321 ambapo wanaume ni 6686 na wanawake ni 6635 ina vijiji vitano (5).Kata ya Kitumbalomo ina shule za msingi sita (MAPIPILI ,LIWIHI ,MHONGOZI, SARA ,KIHUMBAGURU na ILAKAI) , kata hii inajenga sekondari kwani ni kata mpya. Pia kuna kituo cha afya,kata ya kitumbalomo ina mradi wa maji ambao umefadhiriwa na serikali jumla.... wanategemea kunufaika na mradi huo.Pia sehemu kubwa ya kata ya kitumbalomo inamawsiliano ya simu za mikonononi kutoka kwa makampuni ya vodacom,tigo na airtel.Kata hii pia ipo katika mpango wa umeme awamu ya pili
MBINGA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA
Namba za simu: 2552640005
SImu ya mkononi: PS 0754533018
parua pepe: ded@mbingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit