• Wasilina nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga District Council
Mbinga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • HISTORIA
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Afya
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maji
      • Community Development
      • Menejimenti ya Mipango na Takwimu
      • Mifugo
      • Agriculture,Cooperative and Irrigation
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
    • Kitengo
      • Habari, mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Investment
    • Makaa Ya Mawe
  • Huduma
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
  • Councillors/PM
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • UKURASA WA ELIMU SEKONDARI
    • Mbunge
      • Miradi iliyo inayofadhiliwa
      • Ratiba ya Mbunge
      • Ligi ya Mbunge
  • Miradi
    • Miradi
      • Miradi Mipya
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi ambayo haijakamilika
  • Chapisho
    • Miongozo
      • TEHAMA
    • Kanuni
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • TEHAMA
    • Idara
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Tarafa
    • Mbuji
      • KARIBUBU KATA YA MBUJI
      • Litembo
      • Kitura
      • Nyoni
      • Mpapa
      • Kata ya Kilangajuu
      • Maguu
      • Langiro
    • Kigonsera
      • Kigonsera
      • Kihangimahuka
      • Kitumbalomo
      • Matiri
    • Hagati
    • Mkumbi
    • Namswea
    • Mkumbi
      • Mkumbi
      • Kipololo
      • Ukata
      • Ngima
  • MIFUMO

DC MANGOSONGO ATEMBELEA WANAFUNZI WALIODHURIKA NA RADI

Tarehe ya kuwekwa: February 23rd, 2024

Mapema leo tarehe 23 Februari  2024 Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe. Aziza Mangosongo ametembelea  Kituo cha Afya Kindimbachini kuwajulia hali wanafunzi 11 ambao wamejeruhiwa na radi tarehe 22 Februari  2024.

Sambamba na kuwatembelea majeruhi  hao Mangosongo  ameshiriki mazishi ya wanafunzi Maria Hyera(10) Alfons Hyera (8) kutoka shule ya msingi Mapendano pamoja na Deus Kayombo ( 8) kutoka Shule ya Msingi Kindimbachini ambao wamepoteza maisha kutokana na radi hiyo.

Aidha amekabidhi majeneza matatu na rambirambi  kwa wazazi wa marehemu pamoja na pole kwa majeruhi ambao wanaendelea kupata matibabu katika kituo cha  Afya Kindimbachini.

Ili kuhakikisha afya za majeruhi hao zinaimarika Mangosongo amemuagiza Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Kindimbachini kuwa huduma za afya kwa majeruhi hao zitolewe bure kwa kuzingatia ubora zaidi.

Akitoa salamu za pole  Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Andrew Mbunda amemhakikishia Mkuu wa Wilaya kuwa  huduma za afya  zitatolewa kwa ubora  kama alivyoagiza.

Naye  Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Kindimbachini Dkt. Salum Bundala amebainisha kuwa kutoka na  kadhia hiyo wanafunzi 3 wamepoteza maisha, na wanafunzi 20 walijeruhiwa na kufikishwa kituoni hapo kwa ajili ya kupatiwa matibabu ambapo kati yao 9 wameruhusiwa na 11 wanaendelea na matibabu na hali zao zinaimarika.

Akielezea tukio  kwa upande wa shule ya Msingi Mapendano Mwalimu  Mkuu wa Shule hiyo  Danstan Hyera  amebainisha  kuwa  majira ya saa tisa alasiri radi ilipiga na  wanafunzi 21 walidhurika kati yao 19 walijeruhiwa  na wanafunzi 2 walipoteza maisha.

Kwa upande wake Bi. Anna Mkifaru  ambae ni mzazi wa moja ya majeruhi  amewashukuru watoa huduma wa Kituo cha Afya Kindimbachini kwa  huduma bora  zinazoendelea kutolewa kwa majeruhi hao ambao afya zao zinaendelea kuimarika.

Jumla ya Wanafunzi waliokubwa na kadhia hiyo ni 23,  wanafunzi 2 kutoka shule ya msingi Kindimbachini  na wanafunzi 21 kutoka Shule ya msingi Mapendano shule zilizopo  katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.

Imeandikwa na Silvia Ernest 

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini 

23 Februari 2024

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI September 17, 2024
  • TANGAZO LA HESABU MBINGA DC July 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA MKATABA NAFASI YA MKUSANYA USHURU January 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA- DEREVA NAFASI 2 January 25, 2024
  • Tazama zote/kote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI KASHUSHURA ATOA MSISITIZO MATUMIZI YA NISHATI SAFI SHULENI

    February 15, 2025
  • MAAFISA TUME WATEMBELEA MBINGA DC

    January 08, 2025
  • WAANDISHI WASAIDIZI, WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WAPEWA ANGALIZO

    January 09, 2025
  • KASHUSHURA AWAPONGEZA WANANCHI UJENZI WA SHULE

    September 10, 2024
  • Tazama zote/kote

Video

UGAWAJI WA MKAA MBADALA
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Utumishi
  • Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Polisi Tanzania
  • Mamraka ya mapato Tanzania (TRA)

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ili kutufikia

Wasilina nasi

    MBINGA DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA

    Namba za simu: 2552640005

    SImu ya mkononi: PS 0754533018

    parua pepe: ded@mbingadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit