• Wasilina nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga District Council
Mbinga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • HISTORIA
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Afya
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maji
      • Community Development
      • Menejimenti ya Mipango na Takwimu
      • Mifugo
      • Agriculture,Cooperative and Irrigation
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
    • Kitengo
      • Habari, mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Investment
    • Makaa Ya Mawe
  • Huduma
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
  • Councillors/PM
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • UKURASA WA ELIMU SEKONDARI
    • Mbunge
      • Miradi iliyo inayofadhiliwa
      • Ratiba ya Mbunge
      • Ligi ya Mbunge
  • Miradi
    • Miradi
      • Miradi Mipya
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi ambayo haijakamilika
  • Chapisho
    • Miongozo
      • TEHAMA
    • Kanuni
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • TEHAMA
    • Idara
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Tarafa
    • Mbuji
      • KARIBUBU KATA YA MBUJI
      • Litembo
      • Kitura
      • Nyoni
      • Mpapa
      • Kata ya Kilangajuu
      • Maguu
      • Langiro
    • Kigonsera
      • Kigonsera
      • Kihangimahuka
      • Kitumbalomo
      • Matiri
    • Hagati
    • Mkumbi
    • Namswea
    • Mkumbi
      • Mkumbi
      • Kipololo
      • Ukata
      • Ngima
  • MIFUMO

"JIRIDHISHENI NA TAARIFA ZA TAASISI ZA MIKOPO" MANGOSONGO

Tarehe ya kuwekwa: March 5th, 2024

Watumishi wa Serikali  Wilaya ya Mbinga wametakiwa kujiridhisha na taarifa za taasisi zinazotoa mikopo  kabla ya kuchukua mikopo kutoka katika  taasisi husika.

Wito huo umetolewa tarehe 5 Machi 2024  na Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe. Aziza Mangosongo katika kikao kazi kilichohusisha  walimu, watendaji wa Kata pamoja na taasisi za mikopo  zilizopo Wilayani  Mbinga.

Mangosongo ameeleza kuwa kumekuwa  na migogoro kati ya taasisi za mikopo pamoja na watumishi ambao ndio wakopaji  adha ambayo inaathiri utendaji kazi wa watumishi hao.

Amefafanua kuwa moja ya sababu ya migogoro hiyo ni watumishi  kuchukua mikopo kiholela  bila kuwa na taarifa sahihi za taasisi hizo na kupelekea baadhi yao kutapeliwa fedha zao au kukatwa makato makubwa tofauti na makubaliano.

"Kuna taasisi za magumashi unaenda pale anakusainisha mkataba hakupi na akikupa mkataba wa kimagumashi  na wewe una haraka ya hela mkataba husomi matokeo yake unatapeliwa" Amesema Mangosongo

Sambamba na hilo amewataka watumishi hao kujikita katika shughuli za kiuchumi na sio kutegemea mshahara pekee hali inayopelekea kujiingiza katika mikopo na kushindwa kulipa.

wakati huo huo amezitaka taasisi zote  za zinazotoa mikopo Wilayani Mbinga kuhakikisha zina leseni ya biashara pamoja na kutoa mikopo kwa kuzingatia vigezo na miongozo.

Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga  Andrew Mbunda  amebainisha kuwa kikao kazi hiko  kinakwenda kuleta  matokeo chanya na kubadilisha fikra za watumishi hao.

Akichangia mada katika kikao hiko  mwalimu mstaafu Bw. Mtanga Mtanga amesema kuwa changamoto kubwa wanayokutana nayo ni riba kubwa za mikopo na  kuacha kadi zao za benki jambo ambalo linalohatarisha usalama wa fedha zao.


Imeandikwa na Silvia Ernest 

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini 

5 Machi 2024

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI September 17, 2024
  • TANGAZO LA HESABU MBINGA DC July 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA MKATABA NAFASI YA MKUSANYA USHURU January 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA- DEREVA NAFASI 2 January 25, 2024
  • Tazama zote/kote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI KASHUSHURA ATOA MSISITIZO MATUMIZI YA NISHATI SAFI SHULENI

    February 15, 2025
  • MAAFISA TUME WATEMBELEA MBINGA DC

    January 08, 2025
  • WAANDISHI WASAIDIZI, WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WAPEWA ANGALIZO

    January 09, 2025
  • KASHUSHURA AWAPONGEZA WANANCHI UJENZI WA SHULE

    September 10, 2024
  • Tazama zote/kote

Video

UGAWAJI WA MKAA MBADALA
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Utumishi
  • Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Polisi Tanzania
  • Mamraka ya mapato Tanzania (TRA)

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ili kutufikia

Wasilina nasi

    MBINGA DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA

    Namba za simu: 2552640005

    SImu ya mkononi: PS 0754533018

    parua pepe: ded@mbingadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit