Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Ndg. Joseph Kashushura ameongoza Kikao cha kutathmini ya utoaji wa Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga katika mwaka wa fedha 2024/2025.
Kikao kimefanyika tarehe 15 Julai 2025 katika ukumbi wa mikutano Makao Makuu ya Halmashauri.
MBINGA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA
Namba za simu: 2552640005
SImu ya mkononi: PS 0754533018
parua pepe: ded@mbingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit