• Wasilina nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga District Council
Mbinga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • HISTORIA
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Afya
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maji
      • Community Development
      • Menejimenti ya Mipango na Takwimu
      • Mifugo
      • Agriculture,Cooperative and Irrigation
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
    • Kitengo
      • Habari, mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Investment
    • Makaa Ya Mawe
  • Huduma
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
  • Councillors/PM
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • UKURASA WA ELIMU SEKONDARI
    • Mbunge
      • Miradi iliyo inayofadhiliwa
      • Ratiba ya Mbunge
      • Ligi ya Mbunge
  • Miradi
    • Miradi
      • Miradi Mipya
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi ambayo haijakamilika
  • Chapisho
    • Miongozo
      • TEHAMA
    • Kanuni
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • TEHAMA
    • Idara
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Tarafa
    • Mbuji
      • KARIBUBU KATA YA MBUJI
      • Litembo
      • Kitura
      • Nyoni
      • Mpapa
      • Kata ya Kilangajuu
      • Maguu
      • Langiro
    • Kigonsera
      • Kigonsera
      • Kihangimahuka
      • Kitumbalomo
      • Matiri
    • Hagati
    • Mkumbi
    • Namswea
    • Mkumbi
      • Mkumbi
      • Kipololo
      • Ukata
      • Ngima
  • MIFUMO

MHE. SILINDE ARIDHISHWA NA UBORA WA MADARASA MBINGA

Tarehe ya kuwekwa: December 17th, 2021

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. David Silinde ameridhishwa na ubora wa madarasa yanayoyengwa kwenye maeneo mbalimbali wilayani Mbinga huku akipongeza kasi nzuri ya utekelezaji wa miradi hiyo.

Hayo yamejiri disemba 17, 2021 wakati wa ziara ya Naibu Waziri huyo alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa vyumba vya madarasa yanayojengwa kwenye maeneo mbalimbali ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga kupitia Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19.

Mhe. Silinde amesema ameridhishwa na thamani, ubora na kasi ya utekelezaji wa miradi inayotekelezwa na Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga na Mkoa wa Ruvuma kwa ujumla na kwamba lengo la serikali ni kuona madarasa yote yanayojengwa nchini kupitia mpango huu yanakamilika kwa wakati na kwamba ifikapo Januari 2022 wanafunzi wote 907,802 waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza wanaanza masomo yao mara moja.

“Kwa ujumla Mkoa wa Ruvuma upo mbele zaidi ukilinganisha na maeneo mengi; Rais anataka mwakani 2022 madarasa na madawati ndio yawasubiri wanafunzi, na sio kinyume chake”. Amesisitiza Mhe. Silinde

Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. David Silinde amefanya ziara yake Wilayani Mbinga akitokea Wilaya ya Songea ambapo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa vyumba vya madarasa kwenye shule za Sekondari za Mkako, Kiamili na Shule ya Sekondari ya Wasichana Mbinga (Mbinga Girls) zilizopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga na Shule za Sekondari za Ruhuwiko na Makita kwa upande wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga.

Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga ipo kwenye hatua za mwisho za ukamilishaji wa vyumba vya madarasa 88 kwenye shule 30 za sekondari vyenye thamani ya shilingi Bilioni 1.76 ikiwa ni miongoni mwa madarasa 1,200 yanayojengwa kwenye shule za sekondari na madarasa 300 yanayojengwa kwenye shule shikizi kote nchini kupitia Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19

Imeandikwa na

Salum Said, Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga 

Tarehe 17 Disemba 2021


Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI September 17, 2024
  • TANGAZO LA HESABU MBINGA DC July 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA MKATABA NAFASI YA MKUSANYA USHURU January 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA- DEREVA NAFASI 2 January 25, 2024
  • Tazama zote/kote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI KASHUSHURA ATOA MSISITIZO MATUMIZI YA NISHATI SAFI SHULENI

    February 15, 2025
  • MAAFISA TUME WATEMBELEA MBINGA DC

    January 08, 2025
  • WAANDISHI WASAIDIZI, WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WAPEWA ANGALIZO

    January 09, 2025
  • KASHUSHURA AWAPONGEZA WANANCHI UJENZI WA SHULE

    September 10, 2024
  • Tazama zote/kote

Video

UGAWAJI WA MKAA MBADALA
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Utumishi
  • Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Polisi Tanzania
  • Mamraka ya mapato Tanzania (TRA)

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ili kutufikia

Wasilina nasi

    MBINGA DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA

    Namba za simu: 2552640005

    SImu ya mkononi: PS 0754533018

    parua pepe: ded@mbingadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit