• Wasilina nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga District Council
Mbinga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • HISTORIA
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Afya
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maji
      • Community Development
      • Menejimenti ya Mipango na Takwimu
      • Mifugo
      • Agriculture,Cooperative and Irrigation
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
    • Kitengo
      • Habari, mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Investment
    • Makaa Ya Mawe
  • Huduma
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
  • Councillors/PM
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • UKURASA WA ELIMU SEKONDARI
    • Mbunge
      • Miradi iliyo inayofadhiliwa
      • Ratiba ya Mbunge
      • Ligi ya Mbunge
  • Miradi
    • Miradi
      • Miradi Mipya
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi ambayo haijakamilika
  • Chapisho
    • Miongozo
      • TEHAMA
    • Kanuni
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • TEHAMA
    • Idara
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Tarafa
    • Mbuji
      • KARIBUBU KATA YA MBUJI
      • Litembo
      • Kitura
      • Nyoni
      • Mpapa
      • Kata ya Kilangajuu
      • Maguu
      • Langiro
    • Kigonsera
      • Kigonsera
      • Kihangimahuka
      • Kitumbalomo
      • Matiri
    • Hagati
    • Mkumbi
    • Namswea
    • Mkumbi
      • Mkumbi
      • Kipololo
      • Ukata
      • Ngima
  • MIFUMO

MKURUGENZI KASHUSHURA ATOA MSISITIZO MATUMIZI YA NISHATI SAFI SHULENI

Tarehe ya kuwekwa: February 15th, 2025

MKURUGENZI KASHUSHURA ATOA MSISITIZO MATUMIZI YA NISHATI SAFI SHULENI

Na Silvia Ernest

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Joseph Kashushura ameendelea kutoa msisitizo juu ya matumizi ya Nishati safi ya kupikia kwa Shule zote za Sekondari zilizopo katika Halmashauri  ya Wilaya ya Mbinga akisisitiza kuwa ni Sera ya Serikali katika kutunza mazingira.

Mkurugenzi Kashushura ametoa rai hiyo tarehe 15 Februari 2025  katika tafrija fupi ya utoaji wa tuzo za taaluma kwa shule za Sekondari Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.

Amesisitiza kuwa  Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga ina makaa ya mawe ambayo hutumika kuzalisha mkaa mbadala ambao ni  mojawapo ya nishati safi ya  kupikia hivyo  amewataka  walimu hao kutumia fursa hiyo ambayo wengi wanatamani kuwa nayo.

"Haiwezekani  tuna rasilimali katika eneo letu alafu bado tuna shangaa shangaa itafikia pointi watu wengine watatoka  katika maeneo mengine kuja kuchukua mzigo huku"Amesema

Kwa upande wake Kaimu Afisa Maliasili na Mazingira  Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Chrispine  Haonga ameeleza kuwa Halmashauri  imeendelea kutoa elimu na kuhamasisha  Jamii juu ya matumizi ya nishati safi za kupikia.

Ikumbukwe Julai 11, 2024 Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga ilikabidhi tani 10 za mkaa  mbadala utokanao na makaa ya mawe kwa shule za msingi 15 na Shule za Sekondari 15.

Akithibitisha faida za matumizi safi ya nishati za kupikia Padre Chistopher Mapunda Mkuu wa Seminari ya Likonde ameeleza kwa miaka mingi Seminari ya Likonde ilikuwa inatumia  kuni kwa ajili ya kupikia hatua ambayo ilipelekea uharibifu  wa misitu lakini kwa sasa Shule inanufaika na matumizi ya  nishati ya mkaa mbadala wa  makaa ya mawe.

Kwa upande wa Shule ya Sekondari Kigonsera  Makamu Mkuu wa Shule  Joseph Komba  ameeleza kuwa kwa sasa shule hiyo imendokana na matumizi ya kuni kwa ajili ya kupikia na badala yake shule inatumia nishati ya gesi pamoja na nishati ya makaa ya mawe.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI September 17, 2024
  • TANGAZO LA HESABU MBINGA DC July 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA MKATABA NAFASI YA MKUSANYA USHURU January 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA- DEREVA NAFASI 2 January 25, 2024
  • Tazama zote/kote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI KASHUSHURA ATOA MSISITIZO MATUMIZI YA NISHATI SAFI SHULENI

    February 15, 2025
  • MAAFISA TUME WATEMBELEA MBINGA DC

    January 08, 2025
  • WAANDISHI WASAIDIZI, WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WAPEWA ANGALIZO

    January 09, 2025
  • KASHUSHURA AWAPONGEZA WANANCHI UJENZI WA SHULE

    September 10, 2024
  • Tazama zote/kote

Video

UGAWAJI WA MKAA MBADALA
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Utumishi
  • Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Polisi Tanzania
  • Mamraka ya mapato Tanzania (TRA)

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ili kutufikia

Wasilina nasi

    MBINGA DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA

    Namba za simu: 2552640005

    SImu ya mkononi: PS 0754533018

    parua pepe: ded@mbingadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit