• Wasilina nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga District Council
Mbinga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • HISTORIA
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Afya
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maji
      • Community Development
      • Menejimenti ya Mipango na Takwimu
      • Mifugo
      • Agriculture,Cooperative and Irrigation
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
    • Kitengo
      • Habari, mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Investment
    • Makaa Ya Mawe
  • Huduma
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
  • Councillors/PM
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • UKURASA WA ELIMU SEKONDARI
    • Mbunge
      • Miradi iliyo inayofadhiliwa
      • Ratiba ya Mbunge
      • Ligi ya Mbunge
  • Miradi
    • Miradi
      • Miradi Mipya
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi ambayo haijakamilika
  • Chapisho
    • Miongozo
      • TEHAMA
    • Kanuni
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • TEHAMA
    • Idara
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Tarafa
    • Mbuji
      • KARIBUBU KATA YA MBUJI
      • Litembo
      • Kitura
      • Nyoni
      • Mpapa
      • Kata ya Kilangajuu
      • Maguu
      • Langiro
    • Kigonsera
      • Kigonsera
      • Kihangimahuka
      • Kitumbalomo
      • Matiri
    • Hagati
    • Mkumbi
    • Namswea
    • Mkumbi
      • Mkumbi
      • Kipololo
      • Ukata
      • Ngima
  • MIFUMO

TANI 10 ZA MKAA MBADALA ZAKABIDHIWA KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI

Tarehe ya kuwekwa: July 11th, 2024

Na Silvia Ernest

Tani 10  za mkaa mbadala utokanao na makaa ya mawe zimekabidhiwa  kwa shule za Msingi 15 na  shule za Sekondari 15  za Halmashauri  ya Wilaya ya Mbinga kwa ajili ya kupikia lengo likiwa ni kutekeleza agizo la matumizi ya nishati safi lilitolewa na  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Mkaa huo umekabidhiwa na mgeni rasmi  Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe. Kisare Makori katika  Halfa ya Ugawaji wa Mkaa Mbadala Utokanao na Makaa ya Mawe iliyofanyika katika Shule ya Sekondari ya wasichana Mbinga  Julai 11, 2024.

Akikabidhi mkaa huo Mhe. Kisare amempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Joseph Kashushura  kwa kuchukua hatua katika kutekeleza  agizo la Mhe. Rais na kusisitiza  kuwa huo ni mfano wa kuigwa  na wengine.


Amesema" Nikupongeze Mkurugenzi  kwa kweli umefanya jambo kubwa sana na la kuigwa  sio tu tumekabidhi lakini umeacha alama kwa shule hizi na kuhamasisha taasisi nyingine zitumie mkaa huu"


Akisoma taarifa  katika hafla hiyo Mkurugenzi  wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga  Joseph Kashushura  amebainisha kuwa katika kutekeleza  agizo la Mhe. Rais  la katazo la matumizi ya nishati chafu , Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga imeanza  na shule za Sekondari na Msingi ili kuondokana na  matumizi ya kuni na mkaa wakati wa kupika chakula.


"Tani hizi zilizotolewa ni moja ya mkakati  wa  kuhakikisha Halmashauri  yetu inatumia nishati safi na kuacha uharibifu wa mazingira  kwakuwa miti mingi inakatwa kwa ajili ya kupata kuni au mkaa wa kupikia" Amebainisha  Kashushura


Akizungumza kwa niaba ya walimu wakuu wa Halmashauri  ya Wilaya ya Mbinga  Mkuu wa Shule ya Sekondari  ya Mndeme mwalimu  Denterias Mgaya amesema  mkaa huu utapunguza gharama lakini pia ni  chachu katika kutunza mazingira.


Watengenezaji na wauzaji wa mkaa huo ni kikundi cha wanawake Mbalawala  kilichopo kata ya Ruanda  kikundi ambacho ni wanufaika wa mkopo wa 10% unaotolewa na Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI September 17, 2024
  • TANGAZO LA HESABU MBINGA DC July 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA MKATABA NAFASI YA MKUSANYA USHURU January 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA- DEREVA NAFASI 2 January 25, 2024
  • Tazama zote/kote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI KASHUSHURA ATOA MSISITIZO MATUMIZI YA NISHATI SAFI SHULENI

    February 15, 2025
  • MAAFISA TUME WATEMBELEA MBINGA DC

    January 08, 2025
  • WAANDISHI WASAIDIZI, WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WAPEWA ANGALIZO

    January 09, 2025
  • KASHUSHURA AWAPONGEZA WANANCHI UJENZI WA SHULE

    September 10, 2024
  • Tazama zote/kote

Video

UGAWAJI WA MKAA MBADALA
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Utumishi
  • Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Polisi Tanzania
  • Mamraka ya mapato Tanzania (TRA)

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ili kutufikia

Wasilina nasi

    MBINGA DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA

    Namba za simu: 2552640005

    SImu ya mkononi: PS 0754533018

    parua pepe: ded@mbingadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit