Tarehe ya kuwekwa: February 8th, 2022
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga limepitisha azimio la kumfukuza kazi mtumishi mmoja huku wengine watatu wakitakiwa kufunguliwa mashitaka ya kinidhamu kutokana na kukiuka maadili ...
Tarehe ya kuwekwa: January 24th, 2022
Timu ya Viongozi na Wataalamu kutoka Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe imefanya ziara ya kutembelea Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga iliyopo Mkoani Ruvuma kwa lengo la kujionea namna Halmashauri hiyo inav...
Tarehe ya kuwekwa: January 18th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brig. Jen Wilbert Ibuge ametoa wito kwa wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya masikini TASAF Wilayani Mbinga kutumia fedha za ruzuku zinazotolewa kupitia mpango huo kwa kujikwamu...