Tarehe ya kuwekwa: June 29th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Mbinga, Mhe. Aziza Mangosongo amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekua Mkuu wa Wilaya hiyo, Mhe. Cosmas Nshenye katika hafla iliyofanyika leo Juni 29, 2021
Hafla hiyo ya makabidhiano ...
Tarehe ya kuwekwa: June 28th, 2021
Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga imepongezwa kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwenye maeneo mbalimbali ya Halmashauri hiyo.
Hayo yamejiri leo Juni 28, 2021 wakati wa ziara y...
Tarehe ya kuwekwa: June 27th, 2021
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga, Juma Mnwele leo Juni 27, 2021 ameshiriki ibada ya misa takatifu na kuongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la Kigango cha Kiamili, Parok...