Kata ya Ngima ipo umbali wa km 22 toka makao makuu ya wilaya ya Mbinga.Ngima ina jumla ya wakazi 9306 ambapo wanaume ni 4268 na wanawake ni 5038 ina vijiji 3 (Ngima,Unango,Njombe na Ndunguli).Kata ya Ngima ina shule za msingi 6 (NGIMA,UNANGO,NJOMBE na NDUNGULI) na sekondari moja (1). Wukiro sekondari inayo milikiwa na serikalii.Pia sehemu kubwa ya kata ya Ngima inamawsiliano ya simu za mikonononi kutoka kwa makampuni ya Vodacom,Tigo Airtel na Halotel.Kata hii pia ipo katika mpango wa umeme vijijini , ipo katika mpango wa Gridi ya Taifa. Kata ya Ngima pia inapitiwa na bara bara ya rami inayoelekea Ukata inayofadhiliwa na Europian Union