• Wasilina nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga District Council
Mbinga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • HISTORIA
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Afya
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maji
      • Community Development
      • Menejimenti ya Mipango na Takwimu
      • Mifugo
      • Agriculture,Cooperative and Irrigation
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
    • Kitengo
      • Habari, mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Investment
    • Makaa Ya Mawe
  • Huduma
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
  • Councillors/PM
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • UKURASA WA ELIMU SEKONDARI
    • Mbunge
      • Miradi iliyo inayofadhiliwa
      • Ratiba ya Mbunge
      • Ligi ya Mbunge
  • Miradi
    • Miradi
      • Miradi Mipya
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi ambayo haijakamilika
  • Chapisho
    • Miongozo
      • TEHAMA
    • Kanuni
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • TEHAMA
    • Idara
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Tarafa
    • Mbuji
      • KARIBUBU KATA YA MBUJI
      • Litembo
      • Kitura
      • Nyoni
      • Mpapa
      • Kata ya Kilangajuu
      • Maguu
      • Langiro
    • Kigonsera
      • Kigonsera
      • Kihangimahuka
      • Kitumbalomo
      • Matiri
    • Hagati
    • Mkumbi
    • Namswea
    • Mkumbi
      • Mkumbi
      • Kipololo
      • Ukata
      • Ngima

Video

  • ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI NDANI YA HALMASHAURI NA WATAALAM TOKA TAMISEM

    July 11th, 2019
  • Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mh. Christina Mndeme atema cheche kwa wanyabiashara ya " MAGOMA YA KAHAWA MBINGA "

    November 5th, 2018

    Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mh. Christina Mndeme amefanya ziara ya kikazi ya siku 2 ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga leo  tarehe 5/Nov/2018. Ziara hii ya Mkuu wa  Mkuu wa mkoa inahusisha kukagua miradi ya maendeleo na kusikiliza kero mbali mbali za wananchi.

    Aidha Mh. Mkuu wa Mkoa Bi. Christina Mndeme amesisitiza wananchi kufanya kazi kwa bidii na kuunga jitihada za serikali ya awamu ya tano inayohakikisha ilani ya chama inatekelezwa kwa  kuotoa fedha na kutekeleza miradi mbali mbali " serikali inatoa fedha za elimu bure, kwa mara ya kwanza umeme wa gridi ya Taifa unawaka ndani ya Ruvuma, huduma za afya zinaboreshwa kwani zaidi ya bilioni 5 zimetolewa kuimarisha miradi y afya"alisema Mh. Mkuu wa Mkoa.

    Pia aliwaasa wananchi wanao fanya mambo ambayo yanalengo la kurudisha maendeleo nyuma, kasema tayari kuna watu  10 wanaofanya biashara ya magoma wamekamatwa na wamepelekwa mahakamani. '' Wale wote watakaouza kahawa kwa  kwa mfumo haramu, tutawakamata kwa mtindo wa kata funua, yaani atapigwa gwara kisha ataruka juu atafikia pua kisha atawekwa rokapu na kupelekwa mahakamani" alisisitiza mkuu wa Mkoa.

    Aidha amewahakikishia wakulima wa mazao ya mbali mbali kuwa pembejeo za kilimo zitakuwepo za kutosha kwakuwa tayari wazabuni wameshapatikana na tayari wameanza kusambaza pembejeo za kilimo. 

    Endelea kupitia tovuti hii uone taarifa zaidi

  • Hatimaye ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kwemba Mbambabay waanza

    November 2nd, 2018

    Ujenzi wa barabara ya kutoka Mbinga kwenda Nyasa waanza , ujenzi wa barabara hii utamalizia kipande cha barabara chenye urefu wa km 76 na kukamilisha barabara kutoka Mtwara hadi Nyasa. kukamilika barabara hii kutaongeza fursa nyingi ikiwepo utalii uliopo ukanda wa ziwa Nyasa, utaongeza fursa za uwekezaji n.k

    Barabara hii inaanza kujengwa rasmi tarehe 1/09/2018 na inategemewa kukamilika baada ya miaka 3.Kampuni toka china CHICO LTD, imeshika tenda hii na tayari imeajiri zaidi ya wakazi 300.

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • Next →

Matangazo

  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI ENEO LA KIAMILI October 13, 2021
  • Tazama zote/kote

Habari Mpya

  • MBINGA YAPINGA UKATILI WA KIJINSIA KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2023

    March 02, 2023
  • WIKI YA MWANAMKE MBINGA NA MATUKIO YA KUWAKUMBUKA WENYE UHITAJI

    March 02, 2023
  • TIMU YA PLUM MBINGA DC YAJENGEWA UWEZO UTEKELEZAJI WA MRADI LTIP

    March 02, 2023
  • "TUMIENI MITANDAO YA KIJAMII KUHABARISHA UMMA" Asema Gerson Msigwa. Aipongeza Mbinga DC kujiendesha kidijitali.

    February 21, 2023
  • Tazama zote/kote

Video

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mh. Christine Mndeme aagiza Halmashauri ya Wilaya kuhamiamia Kiamili kabla ya tarehe 30/10/2019
Video zaidi

Kurasa za haraka

Tovuti Mashuhuri

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ili kutufikia

Wasilina nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit