Ujenzi wa barabara ya kutoka Mbinga kwenda Nyasa waanza , ujenzi wa barabara hii utamalizia kipande cha barabara chenye urefu wa km 76 na kukamilisha barabara kutoka Mtwara hadi Nyasa. kukamilika barabara hii kutaongeza fursa nyingi ikiwepo utalii uliopo ukanda wa ziwa Nyasa, utaongeza fursa za uwekezaji n.k
Barabara hii inaanza kujengwa rasmi tarehe 1/09/2018 na inategemewa kukamilika baada ya miaka 3.Kampuni toka china CHICO LTD, imeshika tenda hii na tayari imeajiri zaidi ya wakazi 300.
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit