Kata ya Kipololo ipo umbali wa km 25 toka makao makuu ya wilaya ya Mbinga.luanda ina jumla ya wakazi 5630 ambapo wanaume ni 2626 na wanawake ni 3004 ina vijiji 4 (kipololo,lunoro,ndanga,bagamoyo).Kata ya luanda ina shule za msingi 4 (LUNORO,KIPOLOLO,NDANGA,BAGAMOYO) na sekondari sekondari inayo milikiwa na serikalii. Pia kuna kituo cha afya ambacho kinatoa huduma kwa Wananchi. Sehemu kubwa ya kata ya Kipololo ina mawsiliano ya simu za mikonononi kutoka kwa makampuni ya vodacom,tigo na airtel.Kata hii pia ipo katika mpango wa kuleta umeme , ipo katika mpango wa Gridi ya Taifa..