Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwasili hapo kesho tarehe 30 Julai 2025 katika Mkoa wa Ruvuma kwa ziara ya siku moja katika Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo.
Katika ziara hiyo, Mhe. Rais Samia atazindua rasmi mradi mkubwa wa uchimbaji wa madini ya uranium katika Wilaya ya Namtumbo.
MBINGA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA
Namba za simu: 2552640005
SImu ya mkononi: PS 0754533018
parua pepe: ded@mbingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit