Kata ya Litembo ipo umbali wa km 45toka makao makuu ya wilaya ya Mbinga.Kata ya Litembo ina jumla ya wakazi 4008 ambapo wanaume ni 1941na wanawake ni 2067, ina vijiji 3(Kihungu,Pachasita na Lipembe).Kata ya kihungu ina shule za msingi...na sekondari moja. Litembo sekondari inayo milikiwa na serikali. Pia kuna kituo cha afya na Hospitali moja inayomilikiwa na Kanisa Katoliki. Kata ya Litembo ina mradi wa maji ambao umefadhiriwa na serikali jumla ya wakazi 4008 wanategemea kunufaika na mradi huo.Pia sehemu kubwa ya kata ya Litembo inamawsiliano ya simu za mikonononi kutoka kwa makampuni ya vodacom,tigo na airtel.Kata hii pia ipo katika mpango wa kuleta umeme vijijini ambapo apaka December 2014 inatarajiwa kutakuwa na Umeme
MBINGA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA
Namba za simu: 2552640005
SImu ya mkononi: PS 0754533018
parua pepe: ded@mbingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit