IDARA YA AFYA
Idara ya Afya Wilaya ya Mbinga inao wajibu wakuhakikisha kuwa wakazi wa wilaya wanapata huduma za afya karibu na kwa wakati. Lengo la Wilaya ni kusogeza huduma za afya karibu na ili kupunguza vifo vitokanavyo na magonjwa na vile vya a.Wilaya ya Mbinga ina jumla ya Hospitali 3(majina)k, vituo vya afya...... na zahanati......, pia Wilaya ina hakikisha kuwa maduka ya nayotoa huduma za dawa yamesajiliwa na yanawataalamu wenyesifa.
MBINGA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA
Namba za simu: 2552640005
SImu ya mkononi: PS 0754533018
parua pepe: ded@mbingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit