• Wasilina nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga District Council
Mbinga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • HISTORIA
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Afya
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maji
      • Community Development
      • Menejimenti ya Mipango na Takwimu
      • Mifugo
      • Agriculture,Cooperative and Irrigation
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
    • Kitengo
      • Habari, mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Investment
    • Makaa Ya Mawe
  • Huduma
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
  • Councillors/PM
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • UKURASA WA ELIMU SEKONDARI
    • Mbunge
      • Miradi iliyo inayofadhiliwa
      • Ratiba ya Mbunge
      • Ligi ya Mbunge
  • Miradi
    • Miradi
      • Miradi Mipya
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi ambayo haijakamilika
  • Chapisho
    • Miongozo
      • TEHAMA
    • Kanuni
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • TEHAMA
    • Idara
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Tarafa
    • Mbuji
      • KARIBUBU KATA YA MBUJI
      • Litembo
      • Kitura
      • Nyoni
      • Mpapa
      • Kata ya Kilangajuu
      • Maguu
      • Langiro
    • Kigonsera
      • Kigonsera
      • Kihangimahuka
      • Kitumbalomo
      • Matiri
    • Hagati
    • Mkumbi
    • Namswea
    • Mkumbi
      • Mkumbi
      • Kipololo
      • Ukata
      • Ngima
  • MIFUMO

Mfumo wa kata funua " kuwamaliza wafanyabiashara haramu ya kahawa"

Tarehe ya kuwekwa: November 5th, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mh. Christina Mndeme amefanya ziara ya kikazi ya siku 2 ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga iliyoanza leo  tarehe 5/Nov/2018. Ziara hii ya Mkuu wa  Mkuu wa mkoa inahusisha kukagua miradi ya maendeleo na kusikiliza kero mbali mbali za wananchi.

Aidha Mh. Mkuu wa Mkoa Bi. Christina Mndeme amesisitiza wananchi kufanya kazi kwa bidii na kuunga jitihada za serikali ya awamu ya tano inayohakikisha ilani ya chama inatekelezwa kwa  kuotoa fedha na kutekeleza miradi mbali mbali " serikali inatoa fedha za elimu bure, kwa mara ya kwanza umeme wa gridi ya Taifa unawaka ndani ya Ruvuma, huduma za afya zinaboreshwa kwani zaidi ya bilioni 5 zimetolewa kuimarisha miradi y afya"alisema Mh. Mkuu wa Mkoa.

Pia aliwaasa wananchi wanao fanya mambo ambayo yanalengo la kurudisha maendeleo nyuma ya Taifa letu kuwa hawana nafasi. Wananchi wanatakiwa kudumisha amani tuliokuwa nayo na kumuenzi Hayati baba wa Taifa alie muasisi wa amani wa Taifa hili. Kasema pia wafanyabiashara wanafanya biashara za magendo hususani ya kahawa waache mara moja , katika hotuba yake ya leo iliyofanyika katika viwanja vya CMM wilaya ameeleza kuwa tayari kuna watu  10 wanaofanya biashara ya magoma wamekamatwa na wamepelekwa mahakamani. '' Wale wote watakaouza kahawa kwa  kwa mfumo haramu, tutawakamata kwa mtindo wa kata funua, yaani atapigwa gwara kisha ataruka juu atafikia pua kisha atawekwa rokapu na kupelekwa mahakamani" alisisitiza mkuu wa Mkoa.

Aidha amewahakikishia wakulima wa mazao ya mbali mbali kuwa pembejeo za kilimo zitakuwepo za kutosha kwakuwa tayari wazabuni wameshapatikana na tayari wameanza kusambaza pembejeo za kilimo. 

Endelea kupitia tovuti hii uone taarifa zaidi

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI September 17, 2024
  • TANGAZO LA HESABU MBINGA DC July 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA MKATABA NAFASI YA MKUSANYA USHURU January 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA- DEREVA NAFASI 2 January 25, 2024
  • Tazama zote/kote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI KASHUSHURA ATOA MSISITIZO MATUMIZI YA NISHATI SAFI SHULENI

    February 15, 2025
  • MAAFISA TUME WATEMBELEA MBINGA DC

    January 08, 2025
  • WAANDISHI WASAIDIZI, WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WAPEWA ANGALIZO

    January 09, 2025
  • KASHUSHURA AWAPONGEZA WANANCHI UJENZI WA SHULE

    September 10, 2024
  • Tazama zote/kote

Video

UGAWAJI WA MKAA MBADALA
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Utumishi
  • Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Polisi Tanzania
  • Mamraka ya mapato Tanzania (TRA)

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ili kutufikia

Wasilina nasi

    MBINGA DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA

    Namba za simu: 2552640005

    SImu ya mkononi: PS 0754533018

    parua pepe: ded@mbingadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit