• Wasilina nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga District Council
Mbinga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • HISTORIA
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Afya
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maji
      • Community Development
      • Menejimenti ya Mipango na Takwimu
      • Mifugo
      • Agriculture,Cooperative and Irrigation
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
    • Kitengo
      • Habari, mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Investment
    • Makaa Ya Mawe
  • Huduma
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
  • Councillors/PM
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • UKURASA WA ELIMU SEKONDARI
    • Mbunge
      • Miradi iliyo inayofadhiliwa
      • Ratiba ya Mbunge
      • Ligi ya Mbunge
  • Miradi
    • Miradi
      • Miradi Mipya
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi ambayo haijakamilika
  • Chapisho
    • Miongozo
      • TEHAMA
    • Kanuni
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • TEHAMA
    • Idara
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Tarafa
    • Mbuji
      • KARIBUBU KATA YA MBUJI
      • Litembo
      • Kitura
      • Nyoni
      • Mpapa
      • Kata ya Kilangajuu
      • Maguu
      • Langiro
    • Kigonsera
      • Kigonsera
      • Kihangimahuka
      • Kitumbalomo
      • Matiri
    • Hagati
    • Mkumbi
    • Namswea
    • Mkumbi
      • Mkumbi
      • Kipololo
      • Ukata
      • Ngima
  • MIFUMO

MKURUGENZI MNWELE AAGA RASMI MBINGA

Tarehe ya kuwekwa: August 10th, 2021

Leo Agosti 10 yamefanyika makabidhiano ya Ofisi kati ya aliyekua Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga, Juma Ally Mnwele na Mkurugenzi Mpya wa Halmashauri hiyo Juma Haji Juma kufuatia mabadiliko ya kiuongozi yaliyofanywa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Tukio hilo la makabidhiano limefanyika makao makuu ya Halmashauri yaliyopo Kiamili na kuhudhuriwa na Wakuu wa Idara na Vitengo pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango wakiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri, Mhe. Desderius Haule.

Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo Bw. Mnwele amewashukuru Wakuu wa Idara, Madiwani na watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga kwa ushirikiano mkubwa alioupata kutoka kwao kwa kipindi chote cha miaka mitatu aliyofanya kazi Mbinga na kuwaomba kuendelea kutoa ushirikiano zaidi kwa Mkurugenzi Mpya.

Naye Mkurugenzi Haji ametumia nafasi hiyo kujitambulisha rasmi huku akihimiza ushirikiano na umoja katika utendaji kazi na kutoa msisitizo kwa kila mmoja kutumia taaluma, utashi na uwezo wake wote katika kuendelea kuwatumikia wananchi wa Mbinga na kuwaletea maendeleo.

Katika uteuzi wa Wakurugenzi uliofanya hivi karibuni na Mhe. Rais Bw. Juma Haji aliteuliwa kuwa Mkurugenzi mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga akichukua nafasi ya Bw. Juma Mnwele ambaye ameteuliwa na kuhamishiwa Manispaa ya Lindi kama Mkurugenzi Mpya wa Manispaa hiyo iliyopo Mkoani Lindi.

Ikumbukwe Juma Mnwele amehudumu kama Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga kuanzia Agosti 2018 hadi mapema Agosti mwaka huu 2021, na kabla ya hapo alikua Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo iliyopo Mkoani Kigoma kuanzia mwaka 2016 hadi 2018.

Imeandikwa na

Salum Said, Mbinga

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI September 17, 2024
  • TANGAZO LA HESABU MBINGA DC July 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA MKATABA NAFASI YA MKUSANYA USHURU January 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA- DEREVA NAFASI 2 January 25, 2024
  • Tazama zote/kote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI KASHUSHURA ATOA MSISITIZO MATUMIZI YA NISHATI SAFI SHULENI

    February 15, 2025
  • MAAFISA TUME WATEMBELEA MBINGA DC

    January 08, 2025
  • WAANDISHI WASAIDIZI, WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WAPEWA ANGALIZO

    January 09, 2025
  • KASHUSHURA AWAPONGEZA WANANCHI UJENZI WA SHULE

    September 10, 2024
  • Tazama zote/kote

Video

UGAWAJI WA MKAA MBADALA
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Utumishi
  • Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Polisi Tanzania
  • Mamraka ya mapato Tanzania (TRA)

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ili kutufikia

Wasilina nasi

    MBINGA DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA

    Namba za simu: 2552640005

    SImu ya mkononi: PS 0754533018

    parua pepe: ded@mbingadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit