• Wasilina nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga District Council
Mbinga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • HISTORIA
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Afya
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maji
      • Community Development
      • Menejimenti ya Mipango na Takwimu
      • Mifugo
      • Agriculture,Cooperative and Irrigation
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
    • Kitengo
      • Habari, mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Investment
    • Makaa Ya Mawe
  • Huduma
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
  • Councillors/PM
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • UKURASA WA ELIMU SEKONDARI
    • Mbunge
      • Miradi iliyo inayofadhiliwa
      • Ratiba ya Mbunge
      • Ligi ya Mbunge
  • Miradi
    • Miradi
      • Miradi Mipya
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi ambayo haijakamilika
  • Chapisho
    • Miongozo
      • TEHAMA
    • Kanuni
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • TEHAMA
    • Idara
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Tarafa
    • Mbuji
      • KARIBUBU KATA YA MBUJI
      • Litembo
      • Kitura
      • Nyoni
      • Mpapa
      • Kata ya Kilangajuu
      • Maguu
      • Langiro
    • Kigonsera
      • Kigonsera
      • Kihangimahuka
      • Kitumbalomo
      • Matiri
    • Hagati
    • Mkumbi
    • Namswea
    • Mkumbi
      • Mkumbi
      • Kipololo
      • Ukata
      • Ngima
  • MIFUMO

NAIBU WAZIRI MAZINGIRA ATOA MAGIZO KWA MIGODI YA MAKAA YA MAWE MBINGA

Tarehe ya kuwekwa: July 13th, 2021

Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Hamad Hassan Chande amezitaka kampuni za uchimbaji na uchakataji wa madini ya makaa ya mawe Wilayani Mbinga kuzingatia utunzaji na uhifadhi wa mazingira na kuweka kwenye vipaumbele vyao suala la afya na usalama wa jamii.

Mhe. Chande ametoa agizo hilo  leo Julai 13 wakati alipofanya ziara ya kutembelea migodi na bandari kavu za kuchakata na kuuzia madini ya makaa ya mawe zinazoendeshwa na kampuni za Tancoal na Ruvuma Coal  zilizopo kwenye vijiji vya Paradiso na Amanimakolo, wilayani Mbinga Mkoa wa Ruvuma

Akizungumza wakati wa ziara hiyo Naibu Waziri Chande amesema kuwa uwekezeaji wowote na shughuli nyingine za uchumi za kila siku ni muhimu zikazingatia utunzaji na uhifadhi wa mazingira.

"Dunia inakoelekea sasa ni uwekezaji pamoja na kuzingatia utunzaji wa mazingira, kwahiyo ni jambo la msingi sana shughuli za kiuchumi za kila siku ziwe zinazingatia mazingira kwani mazingira yetu ndio maisha yetu, na ndio uhai wetu"

Akizungumzia suala la vumbi ambalo imeelezwa kuwa ni kero kubwa kwa wananchi na jamii inayozunguka maeneo ya migodi na bandari kavu Mhe. Chande ameelekeza makampuni na madereva kuzingatia afya na usalama wa jamii hiyo kwa kuhakikisha wanafunika mkaa kila unaposafirishwa na kutoa onyo kali kwa wote watakaokikuka agizo hilo na kusema watachukuliwa hatua kali za kisheria.
"Tusingependa kuona watu wetu wanaathirika kwa sababu tu ya maendeleo ya kiuchumi yenye kuathiri afya na usalama wa jamii". Amesema Naibu Waziri huyo.

Vilevile Mhe. Chande ametoa rai kwa kampuni zote zinazochimba makaa ya mawe kuhakikisha  zinarejeshea hali ya ardhi, kuweka na kutekeleza programu ya upandaji miti ya kutosha kila mwaka pamoja na kulipa fidia watu wote wanaomiliki ardhi ndani ya maeneo ya leseni zao, ambapo ametoa miezi 6 kwa kampuni ya Ruvuma Coal kulipa wananchi wote wanaodai fidia ya ardhi kwenye eneo la mgodi wa Kampuni hiyo uliopo Kijiji cha Sara na Paradiso.

Imeandikwa na 

Salum Said,

Afisa Habari, Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.

Jumanne Julai 13, 2021

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI September 17, 2024
  • TANGAZO LA HESABU MBINGA DC July 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA MKATABA NAFASI YA MKUSANYA USHURU January 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA- DEREVA NAFASI 2 January 25, 2024
  • Tazama zote/kote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI KASHUSHURA ATOA MSISITIZO MATUMIZI YA NISHATI SAFI SHULENI

    February 15, 2025
  • MAAFISA TUME WATEMBELEA MBINGA DC

    January 08, 2025
  • WAANDISHI WASAIDIZI, WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WAPEWA ANGALIZO

    January 09, 2025
  • KASHUSHURA AWAPONGEZA WANANCHI UJENZI WA SHULE

    September 10, 2024
  • Tazama zote/kote

Video

UGAWAJI WA MKAA MBADALA
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Utumishi
  • Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Polisi Tanzania
  • Mamraka ya mapato Tanzania (TRA)

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ili kutufikia

Wasilina nasi

    MBINGA DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA

    Namba za simu: 2552640005

    SImu ya mkononi: PS 0754533018

    parua pepe: ded@mbingadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit