Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga imekusudia kuanza kutoa chanjo ya Homa ya Ini kuanzia tarehe 7 hadi 13 Mei, 2021
Huduma hiyo ya chanjo itatolewa kwenye Kata za Matiri, Kigonsera, Ruanda, Mkumbi na Magumu.
Uzinduzi rasmi wa zoezi la chanjo utafanyika Mji mdogo wa Matiri siku ya Jumatatu tarehe 10 Mei, 2021 ambapo Mgeni Rasmi atakua Mkuu wa Wilaya ya Mbinga, Mhe. Cosmas Nshenye.
Gharama ya kipimo cha homa ya Ini ni shilingi 10,000 huku gharama ya chanjo ikiwa ni shilingi 30,000 kwa awamu zote 3 ambazo chanjo hiyo itatolewa
MBINGA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA
Namba za simu: 2552640005
SImu ya mkononi: PS 0754533018
parua pepe: ded@mbingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit