Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Ndg. Juma Haji Juma mapema leo tarehe 01 Novemba 2023 amezungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga lengo likiwa ni kupokea changamoto mbalimbali kutoka kwa watumishi hao na kuzitafutia ufumbuzi changamoto hizo ili kuendelea kuboresha utoaji wa huduma bora kwa wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.
Aidha watumishi wametakiwa kufanya kazi kwa ufanisi na uadilifu huku wakizingatia maadili , miongozo na taratibu za utumishi wa umma katika utekeleza majukumu yao hatua itakayopelekea kuleta matokeo chanya katika utoaji wa huduma bora kwa wananchi.
MBINGA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA
Namba za simu: 2552640005
SImu ya mkononi: PS 0754533018
parua pepe: ded@mbingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit