Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Joseph Kashushura akizungumza na uongozi wa Mbinga Coffee Curing Company Limited Ofisini kwake tarehe 4 Julai 2024.
Pamoja na mengineyo mazungumzo hayo yamelenga katika kuimarisha ushirikiano ili kuleta maendeleo endelevu katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga kupitia zao la Kahawa
MBINGA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA
Namba za simu: 2552640005
SImu ya mkononi: PS 0754533018
parua pepe: ded@mbingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit