1. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Ndg. Juma Haji Juma( wa pili kushoto) pamoja na wataalam wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga wakipata elimu ya Afya na Lishe.
2. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Ndg. Khalid Khalif akipima hali ya Lishe katika Banda la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.
3.Bw. Angelus Mbilinyi Mfugaji wa nyuki akitoa elimu ya ufugaji wa nyuki kwa wananchi waliotembelea Banda la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.
4. Bw. Joakimu Msuha Mkulima kiungo akitoa elimu ya kilimo kwa wananchi waliotembelea Banda la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.
5. Bw. Gotham Sowo Mfugaji wa samaki akitoa elimu ya ufugaji wa samaki ( viumbe maji) kwa wananchi waliotembelea banda la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.
MBINGA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA
Namba za simu: 2552640005
SImu ya mkononi: PS 0754533018
parua pepe: ded@mbingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit