Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango kutoka Halmshauri ya Wilaya ya Mbinga imetembelea na kukagua ujenzi wa Kituo cha Afya Litumbandyosi kinachojengwa katika Kata ya Litumbandyosi.
Ujenzi huo ambao unajengwa kupitia fedha za mapato ya ndani utagharimu shilingi 599,000,000
MBINGA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA
Namba za simu: 2552640005
SImu ya mkononi: PS 0754533018
parua pepe: ded@mbingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit