• Wasilina nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga District Council
Mbinga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • HISTORIA
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Afya
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maji
      • Community Development
      • Menejimenti ya Mipango na Takwimu
      • Mifugo
      • Agriculture,Cooperative and Irrigation
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
    • Kitengo
      • Habari, mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Investment
    • Makaa Ya Mawe
  • Huduma
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
  • Councillors/PM
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • UKURASA WA ELIMU SEKONDARI
    • Mbunge
      • Miradi iliyo inayofadhiliwa
      • Ratiba ya Mbunge
      • Ligi ya Mbunge
  • Miradi
    • Miradi
      • Miradi Mipya
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi ambayo haijakamilika
  • Chapisho
    • Miongozo
      • TEHAMA
    • Kanuni
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • TEHAMA
    • Idara
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Tarafa
    • Mbuji
      • KARIBUBU KATA YA MBUJI
      • Litembo
      • Kitura
      • Nyoni
      • Mpapa
      • Kata ya Kilangajuu
      • Maguu
      • Langiro
    • Kigonsera
      • Kigonsera
      • Kihangimahuka
      • Kitumbalomo
      • Matiri
    • Hagati
    • Mkumbi
    • Namswea
    • Mkumbi
      • Mkumbi
      • Kipololo
      • Ukata
      • Ngima
  • MIFUMO

KAMATI YA FEDHA,UONGOZI NA MIPANGO YAMPONGEZA MKURUGENZI UTEKELEZAJI WA MIRADI

Tarehe ya kuwekwa: January 27th, 2024

Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango imempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri  ya Wilaya ya Mbinga Juma Haji Juma  kwa kusimamia vizuri utekelezaji wa ujenzi ya miundombinu ya elimu inayotekelezwa katika Halmashauri  ya Wilaya ya Mbinga.

Kamati  imemtaka Mkurugenzi kuongeza kasi ya utekelezaji na kuzingatia thamani ya fedha ili miradi hiyo ikamilike kwa wakati na katika viwango vilivyokusudiwa.

Pongezi hizo zimetolewa na mwenyekiti wa Kamati hiyo ambae pia ni mwenyekiti wa Halmashauri  ya Wilaya ya Mbinga Mhe. Desderius Haule tarehe 26 Januari 2024 baada ya kamati hiyo kutembelea na kukagua ujenzi wa miundombinu ya elimu.

" Nikupongeze sana Mkurugenzi na wataalamu wako kwa simamia vizuri utekelezaji wa miradi hii, endeleza ari hiyo ili hii Halmashauri  iwe mfano wa kuigwa  kwa Halmashauri nyingine nchini" Amebainisha Mhe. Haule.

Kwa upande wake Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini Mhe. Benaya Kapinga amewataka wananchi wa Halmashauri  ya Wilaya ya Mbinga kujitolea na kushirikiana na Serikali katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Amebainisha kuwa Serikali inaleta fedha ili zitumike katika kutekeleza miradi ya maendeleo ambayo itakwenda kuleta maendeleo endelevu kwa wananchi hivyo ushiriki wa  jamii ni muhimu sana  katika kutimiza azma hiyo.

Kwa upande wake Kaimu  Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Andrew Mbunda ameihakikishia Kamati hiyo kuwa Halmashauri itaendelea kushirikiana na jamii katika kuhakikisha miradi hiyo inakamilika  kwa wakati na kwa ubora.

Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango imetembelea na kukagua ujenzi wa nyumba ya mwalimu shule ya Msingi Juhudi, ujenzi wa madarasa matatu na ofisi shule ya msingi Lupilinga pamoja na ujenzi wa shule mpya ya Sekondari Kitumbalomo.


Imeandikwa na Silvia Ernest 

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,

26 Januari 2024

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI September 17, 2024
  • TANGAZO LA HESABU MBINGA DC July 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA MKATABA NAFASI YA MKUSANYA USHURU January 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA- DEREVA NAFASI 2 January 25, 2024
  • Tazama zote/kote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI KASHUSHURA ATOA MSISITIZO MATUMIZI YA NISHATI SAFI SHULENI

    February 15, 2025
  • MAAFISA TUME WATEMBELEA MBINGA DC

    January 08, 2025
  • WAANDISHI WASAIDIZI, WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WAPEWA ANGALIZO

    January 09, 2025
  • KASHUSHURA AWAPONGEZA WANANCHI UJENZI WA SHULE

    September 10, 2024
  • Tazama zote/kote

Video

UGAWAJI WA MKAA MBADALA
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Utumishi
  • Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Polisi Tanzania
  • Mamraka ya mapato Tanzania (TRA)

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ili kutufikia

Wasilina nasi

    MBINGA DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA

    Namba za simu: 2552640005

    SImu ya mkononi: PS 0754533018

    parua pepe: ded@mbingadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit