Kamati ya Siasa Mkoa wa Ruvuma imetembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mapema leo tarehe 10 Oktoba 2023.
1.Kamati ya Siasa Mkoa wa Ruvuma imetembelea utekelezaji wa ujenzi shule mpya ya Msingi Kilango iliyopo Kata ya Kipapa
2. Kamati ya Siasa Mkoa wa Ruvuma imetembelea utekelezaji wa ujenzi wa miundombinu Shule ya Sekondari Kitumbalomo
MBINGA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA
Namba za simu: 2552640005
SImu ya mkononi: PS 0754533018
parua pepe: ded@mbingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit