Kamati ya Usalama Wilaya ya Mbinga ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe. Aziza Ally Mangosongo mapema leo tarehe 7 Agosti 2023 imetembelea banda la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika Kitaifa Jijini Mbeya.
Kamati hiyo imepata kujionea fursa mbalimbali za kiuchumi katika nyanja ya Kilimo na Ufugaji zinazopatikana katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga na viunga vyake.
MBINGA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA
Namba za simu: 2552640005
SImu ya mkononi: PS 0754533018
parua pepe: ded@mbingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit