Tukiwa tunaelekea ukingoni mwa maonesho ya Nanenane 2023, unakaribishwa kutembelea banda la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga lililopo katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya kujionea fursa mbalimbali za kiuchumi.
Utapata elimu kutoka kwa wataalam watakaokueleza kujikita katika Kilimo bora na cha kisasa.
MBINGA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA
Namba za simu: 2552640005
SImu ya mkononi: PS 0754533018
parua pepe: ded@mbingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit