• Wasilina nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga District Council
Mbinga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • HISTORIA
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Afya
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maji
      • Community Development
      • Menejimenti ya Mipango na Takwimu
      • Mifugo
      • Agriculture,Cooperative and Irrigation
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
    • Kitengo
      • Habari, mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Investment
    • Makaa Ya Mawe
  • Huduma
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
  • Councillors/PM
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • UKURASA WA ELIMU SEKONDARI
    • Mbunge
      • Miradi iliyo inayofadhiliwa
      • Ratiba ya Mbunge
      • Ligi ya Mbunge
  • Miradi
    • Miradi
      • Miradi Mipya
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi ambayo haijakamilika
  • Chapisho
    • Miongozo
      • TEHAMA
    • Kanuni
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • TEHAMA
    • Idara
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Tarafa
    • Mbuji
      • KARIBUBU KATA YA MBUJI
      • Litembo
      • Kitura
      • Nyoni
      • Mpapa
      • Kata ya Kilangajuu
      • Maguu
      • Langiro
    • Kigonsera
      • Kigonsera
      • Kihangimahuka
      • Kitumbalomo
      • Matiri
    • Hagati
    • Mkumbi
    • Namswea
    • Mkumbi
      • Mkumbi
      • Kipololo
      • Ukata
      • Ngima
  • MIFUMO

MBINGA DC YAFIKIA LENGO UTOAJI WA KINGA TIBA ZA USUBI

Tarehe ya kuwekwa: August 28th, 2023

Na Silvia Ernest, Mbinga DC


Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga imefikia  lengo la utoaji dawa  za Kinga tiba za Usubi kwa  kuwafikia wananchi 229, 414 sawa na 100. 4%  ukilinganisha na mwaka 2022  ambapo zoezi hili lilifanikiwa kwa 84%.


Kwa mwaka 2023  zoezi  la utoaji  dawa za Kinga  tiba  katika ngazi ya jamii  lililenga kuwafikia  wananchi 228,466 waishio katika viunga vya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.


Kaimu  Mkuu wa  Idara ya huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii  Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Dkt. Amad Mwalukungu ameeleza kuwa  mafanikio hayo yametokana na muitikio mkubwa wa wananchi baada ya kupatiwa elimu juu ya  faida ya dawa za Kinga tiba za Usubi.


"  Tumefikia  lengo  tulilojiwekea ,  na kabla ya yote tulitoa elimu ya kutosha na hii imesaidia  sana wananchi kujitokeza na kumeza dawa" Amebainisha Mwalukunga


Amefafanua kuwa zoezi hili la utoaji  wa dawa za Kinga tiba za Usubi  lilitekelezwa kwa siku saba kuanzia  tarehe 17 hadi 23 mwezi Agosti  katika  Kata 29  za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.


Kwa upande wake Mratibu wa magonjwa  yaliyokuwa hayapewi kipaumbele  Dkt. Joseph Washa Washa amebainisha kuwa zoezi hili liliratibiwa kwa kuwafuata wananchi katika Kaya zao ( nyumba kwa nyumba), hatua hii imewapunguzia gharama wananchi na kuwaondolea usumbufu wa kwenda katika vituo vya afya kupata huduma.


Amefafanua  zaidi kuwa  ukilinganisha na mwaka huu mwaka jana  kulikuwa changamoto mbalimbali  kutoka kwa wananchi ambazo zilipelekea malengo kutotimia.


" Changamoto tulizokumbana nazo  kwa mwaka jana ni pamoja na wananchi kuwa na hofu juu ya hizi dawa lakini pia baadhi ya wanajamii kuwafukuza  watoa huduma waliokuwa wanapita katika Kaya zao


Baada ya kubaini changamoto hizo tumezifanyia kazi kwa kutoa elimu ya kutosha kwa wananchi ndio maana mwaka huu tumefikia lengo" Ameeleza Washa Washa

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI September 17, 2024
  • TANGAZO LA HESABU MBINGA DC July 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA MKATABA NAFASI YA MKUSANYA USHURU January 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA- DEREVA NAFASI 2 January 25, 2024
  • Tazama zote/kote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI KASHUSHURA ATOA MSISITIZO MATUMIZI YA NISHATI SAFI SHULENI

    February 15, 2025
  • MAAFISA TUME WATEMBELEA MBINGA DC

    January 08, 2025
  • WAANDISHI WASAIDIZI, WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WAPEWA ANGALIZO

    January 09, 2025
  • KASHUSHURA AWAPONGEZA WANANCHI UJENZI WA SHULE

    September 10, 2024
  • Tazama zote/kote

Video

UGAWAJI WA MKAA MBADALA
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Utumishi
  • Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Polisi Tanzania
  • Mamraka ya mapato Tanzania (TRA)

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ili kutufikia

Wasilina nasi

    MBINGA DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA

    Namba za simu: 2552640005

    SImu ya mkononi: PS 0754533018

    parua pepe: ded@mbingadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit