Baadhi ya picha katika Maonesho ya Utalii Karibu Kusini yanayoendelea katika viwanja vya Kilosa Kilolo Mkoani Iringa.
Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga ni miongoni mwa washiriki wa maonesho hayo ambayo yalifunguliwa rasmi na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Kairuki tarehe 23 Septemba 2023.
MBINGA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA
Namba za simu: 2552640005
SImu ya mkononi: PS 0754533018
parua pepe: ded@mbingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit