• Wasilina nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga District Council
Mbinga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • HISTORIA
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Afya
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maji
      • Community Development
      • Menejimenti ya Mipango na Takwimu
      • Mifugo
      • Agriculture,Cooperative and Irrigation
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
    • Kitengo
      • Habari, mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Investment
    • Makaa Ya Mawe
  • Huduma
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
  • Councillors/PM
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • UKURASA WA ELIMU SEKONDARI
    • Mbunge
      • Miradi iliyo inayofadhiliwa
      • Ratiba ya Mbunge
      • Ligi ya Mbunge
  • Miradi
    • Miradi
      • Miradi Mipya
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi ambayo haijakamilika
  • Chapisho
    • Miongozo
      • TEHAMA
    • Kanuni
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • TEHAMA
    • Idara
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Tarafa
    • Mbuji
      • KARIBUBU KATA YA MBUJI
      • Litembo
      • Kitura
      • Nyoni
      • Mpapa
      • Kata ya Kilangajuu
      • Maguu
      • Langiro
    • Kigonsera
      • Kigonsera
      • Kihangimahuka
      • Kitumbalomo
      • Matiri
    • Hagati
    • Mkumbi
    • Namswea
    • Mkumbi
      • Mkumbi
      • Kipololo
      • Ukata
      • Ngima
  • MIFUMO

MBINGA DC YAVUKA LENGO UKUSANYAJI WA MAPATO,

Tarehe ya kuwekwa: August 31st, 2023



Na Silvia Ernest


Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga imevuka lengo katika ukusanyaji wa mapato kwa  kukusanya mapato ya ndani kiasi cha shilingi  Bil. 6.478 katika  mwaka wa fedha 2022/ 2023 ulioanza  Julai 01,  2022 hadi Juni 30,  2023.


Makisio  ya awali ya  Halmashauri  kwa mwaka wa fedha 2022/2023  yalikuwa  Shilingi  4,598,598,800 yakijumuisha mapato lindwa na mapato halisi.


Mapato hayo yametokana na  kodi na tozo, miamala ya kibiashara,tozo na ushuru mbalimbali,misaada kutoka nje pamoja na  mapato mengineyo.


Taarifa hii imetolewa 31 Agosti 2023  na Mkuu wa Kitengo cha Fedha na Uhasibu  Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga  CPA Samwel James Marwa  katika  Kikao cha Baraza la Madiwani kujadili na kuidhinisha  hesabu  kwa kipindi kilichoanzia tarehe 01 Julai 2022 hadi 30 Juni 2023.


Marwa ameongeza kuwa jumla ya mapato  ya Ruzuku  yaliyopokelewa ni Shilingi Bil. 30.7  fedha ambazo zimetumika  kwa matumizi ya kawaida na maendeleo kama vile stahiki za  watumishi, manunuzi ya  huduma mbalimbali,matengenezo  pamoja na haki za kijamii.


Kwa upande wake  Katibu Tawala Msaidizi Sehemu ya usimamizi wa Menejimenti,Ufatiliaji na Ukaguzi (MMI)  Mkoa wa Ruvuma Phiniel Mbula  ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga kwa kusimamia ukusanyaji wa mapato ameitaka Halmashauri hiyo kuendelea kuimarisha usimamizi katika ukusanyaji  na matumizi ya mapato.


Amesema " Nitoe pongezi zangu kwa Halmashauri hii  Mkoa unafahamu jitihada mnazofanya katika kuhakikisha mnasimamia ukusanyaji wa mapato, endelezeni ari hii"


Naye Kaimu  Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Ndg. Andrew  Mbunda  amebainisha kuwa Halmashauri itaendelea  kusimamia ukusanyaji wa mapato ya ndani ili fedha hizo  zitumike katika kutekeleza miradi ya maendeleo yenye kuleta tija kwa wananchi.

https://www.instagram.com/p/CwpO_vAsV20/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI September 17, 2024
  • TANGAZO LA HESABU MBINGA DC July 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA MKATABA NAFASI YA MKUSANYA USHURU January 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA- DEREVA NAFASI 2 January 25, 2024
  • Tazama zote/kote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI KASHUSHURA ATOA MSISITIZO MATUMIZI YA NISHATI SAFI SHULENI

    February 15, 2025
  • MAAFISA TUME WATEMBELEA MBINGA DC

    January 08, 2025
  • WAANDISHI WASAIDIZI, WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WAPEWA ANGALIZO

    January 09, 2025
  • KASHUSHURA AWAPONGEZA WANANCHI UJENZI WA SHULE

    September 10, 2024
  • Tazama zote/kote

Video

UGAWAJI WA MKAA MBADALA
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Utumishi
  • Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Polisi Tanzania
  • Mamraka ya mapato Tanzania (TRA)

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ili kutufikia

Wasilina nasi

    MBINGA DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA

    Namba za simu: 2552640005

    SImu ya mkononi: PS 0754533018

    parua pepe: ded@mbingadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit