• Wasilina nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga District Council
Mbinga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • HISTORIA
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Afya
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maji
      • Community Development
      • Menejimenti ya Mipango na Takwimu
      • Mifugo
      • Agriculture,Cooperative and Irrigation
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
    • Kitengo
      • Habari, mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Investment
    • Makaa Ya Mawe
  • Huduma
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
  • Councillors/PM
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • UKURASA WA ELIMU SEKONDARI
    • Mbunge
      • Miradi iliyo inayofadhiliwa
      • Ratiba ya Mbunge
      • Ligi ya Mbunge
  • Miradi
    • Miradi
      • Miradi Mipya
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi ambayo haijakamilika
  • Chapisho
    • Miongozo
      • TEHAMA
    • Kanuni
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • TEHAMA
    • Idara
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Tarafa
    • Mbuji
      • KARIBUBU KATA YA MBUJI
      • Litembo
      • Kitura
      • Nyoni
      • Mpapa
      • Kata ya Kilangajuu
      • Maguu
      • Langiro
    • Kigonsera
      • Kigonsera
      • Kihangimahuka
      • Kitumbalomo
      • Matiri
    • Hagati
    • Mkumbi
    • Namswea
    • Mkumbi
      • Mkumbi
      • Kipololo
      • Ukata
      • Ngima
  • MIFUMO

MBINGA YAPOKEA UGENI KUTOKA LUDEWA

Tarehe ya kuwekwa: January 24th, 2022

Timu ya Viongozi na Wataalamu kutoka Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe imefanya ziara ya kutembelea Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga iliyopo Mkoani Ruvuma kwa lengo la kujionea namna Halmashauri hiyo inavyonufanika kupitia uwekezaji kwenye sekta ya madini aina ya makaa ya mawe.

Ugeni huo ulioongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Sunday Deogratius aliyembatana na Wataalam ambao ni Mhasibu wa Mapato, Mwanasheria, Mweka Hazina, Afisa Madini Mkoa wa Njombe na viongozi wengine uliwasili mapema Jumatatu Januari 24, 2022 na kufanya mazungumzo na timu ya wataalam wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga ikiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Juma Haji Juma kwenye Ofisi za Halmashauri zilizopo Kiamili.

Mara baada ya kufanya mazungumzo hayo timu hiyo ya viongozi na wataalam kutoka Wilaya ya Ludewa ilitembelea kituo cha ukaguzi na geti la kukusanyia ushuru la Kitai na kujionea namna ukusanyaji wa mapato na ushuru unaotokana na makaa ya mawe unavyofanyika kupitia kituo hicho kabla ya kutembelea eneo la bandari kavu ya makaa ya mawe ineyoendeshwa na Kampuni ya Ruvuma Coal iliyopo Mkeso ambapo walijionea namna shughuli za uchimbaji, usafirishaji, uchakataji na uuzaji wa makaa ya mawe zinavyofanyika.

Ziara hii ya wataalam na viongozi wa Wilaya ya Ludewa kutembelea Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga kujifunza namna Halmashauri na jamii Wilayani Mbinga inavyonufaika na uwekezaji kwenye sekta ya makaa ya mawe imekuja ikiwa ni mkakati wa mapema wa viongozi hao katika kujipanga kupokea uwekezaji kwenye sekta ya madini ya makaa ya mawe kabla ya kuanza rasmi kwa shughuli za uchimbaji na uchakataji wa madini hayo unaotarajiwa kuanza hivi karibuni Wilayani Ludewa.

Uwekezaji kwenye sekta ya madini ya makaa ya mawe umekua ukifanyika kwa zaidi ya miaka 10 sasa ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga ambapo awali Tancoal ndio ilikua kampuni pekee iliyokua ikijishughulisha na uchimbaji wa makaa ya mawe kabla ya kuongezeka kwa makampuni kama Ruvuma Coal, Jitegemee Holdings na wawekezaji wengine na hivyo kuongeza uzalishaji na wigo wa mapato yatokanayo na makaa ya mawe kwa jamii na Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.


Imeandikwa na

Salum Said, Mbinga

24 Januari, 2022


Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI September 17, 2024
  • TANGAZO LA HESABU MBINGA DC July 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA MKATABA NAFASI YA MKUSANYA USHURU January 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA- DEREVA NAFASI 2 January 25, 2024
  • Tazama zote/kote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI KASHUSHURA ATOA MSISITIZO MATUMIZI YA NISHATI SAFI SHULENI

    February 15, 2025
  • MAAFISA TUME WATEMBELEA MBINGA DC

    January 08, 2025
  • WAANDISHI WASAIDIZI, WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WAPEWA ANGALIZO

    January 09, 2025
  • KASHUSHURA AWAPONGEZA WANANCHI UJENZI WA SHULE

    September 10, 2024
  • Tazama zote/kote

Video

UGAWAJI WA MKAA MBADALA
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Utumishi
  • Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Polisi Tanzania
  • Mamraka ya mapato Tanzania (TRA)

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ili kutufikia

Wasilina nasi

    MBINGA DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA

    Namba za simu: 2552640005

    SImu ya mkononi: PS 0754533018

    parua pepe: ded@mbingadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit