• Wasilina nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga District Council
Mbinga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • HISTORIA
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Afya
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maji
      • Community Development
      • Menejimenti ya Mipango na Takwimu
      • Mifugo
      • Agriculture,Cooperative and Irrigation
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
    • Kitengo
      • Habari, mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Investment
    • Makaa Ya Mawe
  • Huduma
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
  • Councillors/PM
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • UKURASA WA ELIMU SEKONDARI
    • Mbunge
      • Miradi iliyo inayofadhiliwa
      • Ratiba ya Mbunge
      • Ligi ya Mbunge
  • Miradi
    • Miradi
      • Miradi Mipya
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi ambayo haijakamilika
  • Chapisho
    • Miongozo
      • TEHAMA
    • Kanuni
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • TEHAMA
    • Idara
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Tarafa
    • Mbuji
      • KARIBUBU KATA YA MBUJI
      • Litembo
      • Kitura
      • Nyoni
      • Mpapa
      • Kata ya Kilangajuu
      • Maguu
      • Langiro
    • Kigonsera
      • Kigonsera
      • Kihangimahuka
      • Kitumbalomo
      • Matiri
    • Hagati
    • Mkumbi
    • Namswea
    • Mkumbi
      • Mkumbi
      • Kipololo
      • Ukata
      • Ngima
  • MIFUMO

MBUNGE BENAYA KAPINGA ATOA VIFAA VYA UJENZI VYA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 78.6 KUCHOCHEA MAENDELEO MBINGA VIJIJINI

Tarehe ya kuwekwa: February 3rd, 2023

Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini Mhe. Benaya Kapinga kupitia fedha za Mfuko wa Jimbo amegawa vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya shilingi Milioni 78.6 kwa Madiwani na Watendaji wa Kata 22 kwa ajili ya kwenda kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo kwenye maeneo hayo.

Ugawaji wa vifaa hivyo vinavyojumuisha mabati, saruji na nondo umefanyika leo Ijumaa Februari 3, 2023 katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga zilizopo Kiamili zoezi ambali limeongozwa na Mkurugenzi Mtendaji ambaye pia ni Katibu wa Mfuko wa Jimbo Bw. Juma Haji Juma huku Mbunge huyo akiwakilishwa na Katibu wake Ndg. Anton Hyera ambapo pia Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Desderius Haule, Madiwani, Watendaji wa Kata na watendaji wengine wa Halmashauri wameweza kushuhudia.

Mhe. Denis Kapinga ni mmoja wa Madiwani walionufaika na mgao huo ambaye baada ya kutoa shukrani zake kwa Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini na Serikali kwa ujumla amesema vifaa hivyo vitaenda kukamilisha mradi wa nyumba ya watumishi wa afya (2 in 1) huku Diwani wa Kata ya Wukiro Michael Komba naye pia akibainisha kuwa vifaa hivyo vitaelekezwa kwenye ukarabati wa nyumba ya mwalimu na mradi wa ujenzi wa choo cha kudumu Shule ya Msingi Mkalite kijiji cha Wukiro lakini pia vifaa hivyo vitaenda kukamilisha ukarabati wa nyumba ya mganga kijiji cha Manzeye.

Jumla ya shilingi Milioni 81 zilitolewa na Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini Mhe. Benaya Kapinga kupitia Mfuko wa Jimbo ili kuchochea maendeleo ambapo kati ya fedha hizo jumla ya shilingi Milioni 78.6 zimetumika kugharamia manunuzi ya vifaa hivyo vya ujenzi huku fedha zilizosalia zikielekezwa kwenye manunuzi mengine yatakayohitajika wakati wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwenye maeneo husika.

Imeandikwa na Salum Said 

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga 

Tarehe 3 Februari, 2023

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI September 17, 2024
  • TANGAZO LA HESABU MBINGA DC July 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA MKATABA NAFASI YA MKUSANYA USHURU January 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA- DEREVA NAFASI 2 January 25, 2024
  • Tazama zote/kote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI KASHUSHURA ATOA MSISITIZO MATUMIZI YA NISHATI SAFI SHULENI

    February 15, 2025
  • MAAFISA TUME WATEMBELEA MBINGA DC

    January 08, 2025
  • WAANDISHI WASAIDIZI, WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WAPEWA ANGALIZO

    January 09, 2025
  • KASHUSHURA AWAPONGEZA WANANCHI UJENZI WA SHULE

    September 10, 2024
  • Tazama zote/kote

Video

UGAWAJI WA MKAA MBADALA
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Utumishi
  • Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Polisi Tanzania
  • Mamraka ya mapato Tanzania (TRA)

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ili kutufikia

Wasilina nasi

    MBINGA DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA

    Namba za simu: 2552640005

    SImu ya mkononi: PS 0754533018

    parua pepe: ded@mbingadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit