• Wasilina nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga District Council
Mbinga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • HISTORIA
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Afya
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maji
      • Community Development
      • Menejimenti ya Mipango na Takwimu
      • Mifugo
      • Agriculture,Cooperative and Irrigation
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
    • Kitengo
      • Habari, mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Investment
    • Makaa Ya Mawe
  • Huduma
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
  • Councillors/PM
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • UKURASA WA ELIMU SEKONDARI
    • Mbunge
      • Miradi iliyo inayofadhiliwa
      • Ratiba ya Mbunge
      • Ligi ya Mbunge
  • Miradi
    • Miradi
      • Miradi Mipya
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi ambayo haijakamilika
  • Chapisho
    • Miongozo
      • TEHAMA
    • Kanuni
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • TEHAMA
    • Idara
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Tarafa
    • Mbuji
      • KARIBUBU KATA YA MBUJI
      • Litembo
      • Kitura
      • Nyoni
      • Mpapa
      • Kata ya Kilangajuu
      • Maguu
      • Langiro
    • Kigonsera
      • Kigonsera
      • Kihangimahuka
      • Kitumbalomo
      • Matiri
    • Hagati
    • Mkumbi
    • Namswea
    • Mkumbi
      • Mkumbi
      • Kipololo
      • Ukata
      • Ngima
  • MIFUMO

MIL 710 KUIMARISHA HUDUMA ZA AFYA KITUO CHA AFYA KINDIMBACHINI

Tarehe ya kuwekwa: October 24th, 2023


Na Silvia Ernest


Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema kuwa ndani ya mwezi mmoja Kituo cha Afya Kindimbachini kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma kitapokea  vifaa tiba  vyenye thamani ya shilingi Milioni 710  ili  kuboresha na kuimarisha utoaji wa huduma za afya kituoni hapo


Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Afya Dkt.  Godwin Mollel katika uzinduzi wa Kituo cha Afya Kindimbachini  kilichopo katika Kata ya Muungano  Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga, Mkoa wa Ruvuma


Dkt. Mollel ameeleza kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Uongozi imara wa Rais Samia Suluhu Hassan imeendelea kuboresha utoaji wa Huduma za afya nchini  kwa kuhakikisha vituo vya kutolea huduma za  afya vinakuwa na miundombinu bora, vifaa tiba na vitendanishi, dawa pamoja na uwepo wa wataalamu wa Afya.


Aidha amewapongeza wananchi wa Kata hiyo kwa kuchangia  shilingi Millioni 22 kwaajili ya ujenzi wa  Kituo cha  Afya pamoja na shilingi  Millioni 9 kwaajili ya ujenzi wa nyumba za watumishi wa Afya.


"Niwapongeze sana wananchi wa kata ya Muungano kwa kuunga mkono serikali ya Dkt. Samia Suluhu Hassani katika kuleta maendeleo ili kuhakikisha afya zenu na watanzania kwa ujumla zinakuwa salama”, Amepongeza Dkt. Mollel


Pia ametoa wito kwa wananchi hao kuendelea kushirikiana na  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika kuleta maendeleo nchini ili kuweka mazingira rafiki kwa vizazi vya badae.


Kwa upande wake Diwani wa Kata ya Muungano, Mhe. Paulo Kayombo  ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi makini wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuimarisha utoaji wa huduma bora za Afya  kwa wananchi.


Mhe. Kayombo amesema kuwa awali wananchi walilazimika kusafiri umbali mrefu kufuata huduma za afya  katika vituo vingine jirani hususani wakina mama wajawazito walipata wakati mgumu wakati wa kujifungua.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI September 17, 2024
  • TANGAZO LA HESABU MBINGA DC July 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA MKATABA NAFASI YA MKUSANYA USHURU January 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA- DEREVA NAFASI 2 January 25, 2024
  • Tazama zote/kote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI KASHUSHURA ATOA MSISITIZO MATUMIZI YA NISHATI SAFI SHULENI

    February 15, 2025
  • MAAFISA TUME WATEMBELEA MBINGA DC

    January 08, 2025
  • WAANDISHI WASAIDIZI, WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WAPEWA ANGALIZO

    January 09, 2025
  • KASHUSHURA AWAPONGEZA WANANCHI UJENZI WA SHULE

    September 10, 2024
  • Tazama zote/kote

Video

UGAWAJI WA MKAA MBADALA
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Utumishi
  • Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Polisi Tanzania
  • Mamraka ya mapato Tanzania (TRA)

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ili kutufikia

Wasilina nasi

    MBINGA DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA

    Namba za simu: 2552640005

    SImu ya mkononi: PS 0754533018

    parua pepe: ded@mbingadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit