Mapema leo Julai 12, 2024 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Joseph Kashushura amekutana na kuzungumza na wazabuni mbalimbali wanaofanya kazi na ofisi yake katika kutekeleza shughuli mbalimbali ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.
Lengo la mazungumzo hayo ni kufahamiana pamoja na kujadili changamoto changamoto mbalimbali baina ya pande hizo mbili na kuweka mikakati ya kuimarisha ushirikiano utakao rahisisha utekelezaji wa shuughuli mbalimbali zinazofanywa na Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga katika kuleta maendeleo endelevu
MBINGA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA
Namba za simu: 2552640005
SImu ya mkononi: PS 0754533018
parua pepe: ded@mbingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit