Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Joseph Kashushura Rwiza ameongoza kikao cha kujengeana uwezo juu ya mchakato wa uundwaji wa sheria ndogo.
Kikao hicho ambacho kilifanyika tarehe 1 Juni 2024 kimelenga kuleta uelewa wa pamoja juu ya umuhimu wa sheria ndogo na mchakato wa uundwaji au utengenezaji wa sheria ndogo ambazo zitatekelezwa katika Halmashauri.
MBINGA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA
Namba za simu: 2552640005
SImu ya mkononi: PS 0754533018
parua pepe: ded@mbingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit