Kiswahili
  • English
  • Kiswahili
    • Wasilina nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga District Council
Mbinga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • HISTORIA
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Afya
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maji
      • Community Development
      • Menejimenti ya Mipango na Takwimu
      • Mifugo
      • Agriculture,Cooperative and Irrigation
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
    • Kitengo
      • Habari, mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Investment
    • Makaa Ya Mawe
  • Huduma
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
  • Councillors/PM
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • UKURASA WA ELIMU SEKONDARI
    • Mbunge
      • Miradi iliyo inayofadhiliwa
      • Ratiba ya Mbunge
      • Ligi ya Mbunge
  • Miradi
    • Miradi
      • Miradi Mipya
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi ambayo haijakamilika
  • Chapisho
    • Miongozo
      • TEHAMA
    • Kanuni
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • TEHAMA
    • Idara
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Tarafa
    • Mbuji
      • KARIBUBU KATA YA MBUJI
      • Litembo
      • Kitura
      • Nyoni
      • Mpapa
      • Kata ya Kilangajuu
      • Maguu
      • Langiro
    • Kigonsera
      • Kigonsera
      • Kihangimahuka
      • Kitumbalomo
      • Matiri
    • Hagati
    • Mkumbi
    • Namswea
    • Mkumbi
      • Mkumbi
      • Kipololo
      • Ukata
      • Ngima
  • MIFUMO

MTUMISHI MMOJA AFUKUZWA KAZI, WATATU KUFUNGULIWA MASHITAKA YA KINIDHAMU MBINGA

Tarehe ya kuwekwa: February 8th, 2022

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga limepitisha azimio la kumfukuza kazi mtumishi mmoja huku wengine watatu wakitakiwa kufunguliwa mashitaka ya kinidhamu kutokana na kukiuka maadili ya kiutumishi.

Maazimuzi hayo ya Baraza yamefikiwa tarehe 8 Februari 2022 wakati wa Mkutano wa Baraza la Madiwani Robo ya Pili kujadili utendaji kazi wa Halmashauri kwa kipindi cha mwezi Oktoba hadi Desemba 2021/2022 uliofanyika kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari Kigonsera wilayani Mbinga Mkoa wa Ruvuma.

Akitangaza uamuzi wa mashauri ya kinidhamu na kiutumishi yaliyojadiliwa wakati Baraza lilipogeuka kuwa Kamati, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga, Mhe. Desderius Haule amemtaja mtumishi aliyefukuzwa kazi kuwa ni Godluck Gilbert Salim aliyekua Afisa Afya Mazingira wa Halmashauri hiyo.

Aidha, amewataja watumishi wengine ambao imeamriwa wafunguliwe mashtaka ya kinidhamu kutokana na utoro wa muda mrefu kwenye vituo vyao vya kazi kuwa ni Stella Christopher Mtuta (Afisa Mifugo Msaidizi), Dastan Zakaria Hyera (Mtendaji wa Kijiji) na Rafael Oswin Hyera (Mtendaji wa Kijiji).

“Baada ya Kamati kuwajadili kwa kutokuwepo kwenye vituo vyao vya kazi kwa muda mrefu wa zaidi ya siku 5; Kamati imeridhia na kufanya maamuzi kuwa watumishi hawa wafunguliwe mashitaka ya kinidhamu”. Amebainisha Mwenyekiti huyo wa Halmashauri.

Katika hatua nyingine, Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya MbingaBaraza limeridhia kuanza kwa mchakato wa kujaza nafasi wazi ya Mkuu wa Idara ya Fedha kwa kupitisha jina la Samwel James Marwa.

Imeandikwa na 

Salum Said, Mbinga

Februari 8, 2022

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI September 17, 2024
  • TANGAZO LA HESABU MBINGA DC July 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA MKATABA NAFASI YA MKUSANYA USHURU January 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA- DEREVA NAFASI 2 January 25, 2024
  • Tazama zote/kote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI KASHUSHURA ATOA MSISITIZO MATUMIZI YA NISHATI SAFI SHULENI

    February 15, 2025
  • MAAFISA TUME WATEMBELEA MBINGA DC

    January 08, 2025
  • WAANDISHI WASAIDIZI, WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WAPEWA ANGALIZO

    January 09, 2025
  • KASHUSHURA AWAPONGEZA WANANCHI UJENZI WA SHULE

    September 10, 2024
  • Tazama zote/kote

Video

UGAWAJI WA MKAA MBADALA
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Utumishi
  • Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Polisi Tanzania
  • Mamraka ya mapato Tanzania (TRA)

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ili kutufikia

Wasilina nasi

    MBINGA DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA

    Namba za simu: 2552640005

    SImu ya mkononi: PS 0754533018

    parua pepe: ded@mbingadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit