Mwenge wa Uhuru umepokelewa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Jumamosi Aprili 22, 2023 ukitokea Halmashauri ya Wilaya ya Songea.
Shamrashamra za mapokezi ya Mwenge huo zimefanyika eneo la Kitai na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali wa Wilaya ya Mbinga na Halmashauri.
Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe. Aziza Mangosongo ameongoza shughuli za mapokezi ya Mwenge wa Uhuru ambapo ameupokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Songea Mhe. Wilman Kapenjama Ndile
MBINGA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA
Namba za simu: 2552640005
SImu ya mkononi: PS 0754533018
parua pepe: ded@mbingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit