• Wasilina nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga District Council
Mbinga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • HISTORIA
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Afya
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maji
      • Community Development
      • Menejimenti ya Mipango na Takwimu
      • Mifugo
      • Agriculture,Cooperative and Irrigation
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
    • Kitengo
      • Habari, mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Investment
    • Makaa Ya Mawe
  • Huduma
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
  • Councillors/PM
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • UKURASA WA ELIMU SEKONDARI
    • Mbunge
      • Miradi iliyo inayofadhiliwa
      • Ratiba ya Mbunge
      • Ligi ya Mbunge
  • Miradi
    • Miradi
      • Miradi Mipya
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi ambayo haijakamilika
  • Chapisho
    • Miongozo
      • TEHAMA
    • Kanuni
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • TEHAMA
    • Idara
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Tarafa
    • Mbuji
      • KARIBUBU KATA YA MBUJI
      • Litembo
      • Kitura
      • Nyoni
      • Mpapa
      • Kata ya Kilangajuu
      • Maguu
      • Langiro
    • Kigonsera
      • Kigonsera
      • Kihangimahuka
      • Kitumbalomo
      • Matiri
    • Hagati
    • Mkumbi
    • Namswea
    • Mkumbi
      • Mkumbi
      • Kipololo
      • Ukata
      • Ngima
  • MIFUMO

RC MPYA RUVUMA AANZA NA MIKAKATI HII KUBORESHA SEKTA YA AFYA

Tarehe ya kuwekwa: June 11th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mhe. Balozi Brig. Jen. Wilbert Ibuge ameazitaka Halmashauri zote mkoani Ruvuma kuhakikisha zinasimamia kikamilifu mpango wa uchangiaji wa huduma za afya kwenye zahanati, vituo vya afya na hospitali zote za serikali ili vituo hivyo viweze kutoa huduma bora za afya kwa wananchi.

Mkuu huyo wa Mkoa ameyasema hayo Juni 10, wakati alipokutana na viongozi na wasimamizi wa huduma za afya kutoka Wilaya na Halmashauri zote za Mkoa wa Ruvuma kupitia kikao cha kujadili mfumo wa ugavi na usambazaji wa vifaa vya afya kilichofanyika kwenye ukumbi wa Manispaa Songea.

Akihutubia kikao hicho Brig. Jen. Ibuge amesema viongozi wote wanaosimamia upatikanaji wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi kwenye vituo vyote vya kutolea huduma za afya vya umma wanapaswa kuwa na uwajibikaji wa pamoja katika uhamasishaji na usimamizi wa mapato ya afya kupitia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), na Mfuko wa Afya ya Jamii ulioboreswa yaani iCHF.

Jen. Ibuge amesema vituo vingi vya kutolea huduma za afya vya umma vinashindwa kukusanya mapato ya kutosha hali inayopelekea vituo hivyo kushindwa kutoa huduma zilizo bora kwa wananchi, na hivyo ameagiza hadi kufikia Septemba Mosi, 2021 vituo vyote  vya kutolea huduma za afya vya serikali viwe vimefungwa mfumo maalum wa kukusanya mapato.

Ameongeza kuwa usimamizi mzuri wa vyanzo vya mapato kwenye sekta ya afya vina mchango mkubwa sana katika ukuaji na ukusanyaji wa mapato ya ndani (Council’s revenue collection), hivyo Halmashauri zote zinaelekezwa kusimamia kikamilifu ukusanyaji wa mapato yatokanayo na sekta ya afya ikiwemo michango ya wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Mfuko wa Afya ya Jamii ulioboreshwa (iCHF) michango ya papo kwa papo (User fees) pamoja na ada na tozo za usafi wa mazingira.

Sambamba na hayo, Mkuu huyo wa Mkoa wa Ruvuma amesisitiza juu ya kufanyika kwa uhamasishaji mkubwa wa wananchi kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii ulioboresha, iCHF kwani kwa kufanya hivyo wananchi watakua wamepunguziwa mzigo mkubwa wa gharama za matibabu huku akitoa taarifa kuwa hadi sasa ni kaya 11,820 tu kati ya kaya lengwa 180,085 ndio zimejiunga na mpango huu, sawa na asilimia 3.3

Hiki ni kikao cha kwanza kwa Mhe. Balozi Brig. Jen. Wilbert Ibuge tangu alipoteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma na kuchukua nafasi ya Bi. Christina Mndeme ambaye aliteuliwa kuwa Naibu Katibu wa CCM – Bara, ambapo ameweza kukutana na Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala, Wakurugenzi na Wenyeviti wa Halmashauri, Waganga Wakuu, Maafisa Mipango, Waweka Hazina, Maafisa Maendeleo ya Jamii, Maafisa Ustawi na Wafamasia kutoka Wilaya na Halmashauri zote za Mkoa wa Ruvuma.

Imandikwa na

Salum Said

Afisa Habari, Mbinga D.C

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI September 17, 2024
  • TANGAZO LA HESABU MBINGA DC July 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA MKATABA NAFASI YA MKUSANYA USHURU January 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA- DEREVA NAFASI 2 January 25, 2024
  • Tazama zote/kote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI KASHUSHURA ATOA MSISITIZO MATUMIZI YA NISHATI SAFI SHULENI

    February 15, 2025
  • MAAFISA TUME WATEMBELEA MBINGA DC

    January 08, 2025
  • WAANDISHI WASAIDIZI, WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WAPEWA ANGALIZO

    January 09, 2025
  • KASHUSHURA AWAPONGEZA WANANCHI UJENZI WA SHULE

    September 10, 2024
  • Tazama zote/kote

Video

UGAWAJI WA MKAA MBADALA
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Utumishi
  • Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Polisi Tanzania
  • Mamraka ya mapato Tanzania (TRA)

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ili kutufikia

Wasilina nasi

    MBINGA DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA

    Namba za simu: 2552640005

    SImu ya mkononi: PS 0754533018

    parua pepe: ded@mbingadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit