• Wasilina nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga District Council
Mbinga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • HISTORIA
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Afya
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maji
      • Community Development
      • Menejimenti ya Mipango na Takwimu
      • Mifugo
      • Agriculture,Cooperative and Irrigation
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
    • Kitengo
      • Habari, mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Investment
    • Makaa Ya Mawe
  • Huduma
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
  • Councillors/PM
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • UKURASA WA ELIMU SEKONDARI
    • Mbunge
      • Miradi iliyo inayofadhiliwa
      • Ratiba ya Mbunge
      • Ligi ya Mbunge
  • Miradi
    • Miradi
      • Miradi Mipya
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi ambayo haijakamilika
  • Chapisho
    • Miongozo
      • TEHAMA
    • Kanuni
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • TEHAMA
    • Idara
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Tarafa
    • Mbuji
      • KARIBUBU KATA YA MBUJI
      • Litembo
      • Kitura
      • Nyoni
      • Mpapa
      • Kata ya Kilangajuu
      • Maguu
      • Langiro
    • Kigonsera
      • Kigonsera
      • Kihangimahuka
      • Kitumbalomo
      • Matiri
    • Hagati
    • Mkumbi
    • Namswea
    • Mkumbi
      • Mkumbi
      • Kipololo
      • Ukata
      • Ngima
  • MIFUMO

RC RUVUMA AZINDUA OPERESHENI YA UWEKAJI ANWANI ZA MAKAZI NA POSTIKODI

Tarehe ya kuwekwa: February 14th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brig. Jen. Balozi Wilbert Ibuge amezindua rasmi operesheni ya uwekaji wa anwani za makazi na postikodi itakayotekelezwa kwenye Wilaya na Halmashauri zote za Mkoa huo ndani ya kipindi cha mwezi mmoja na nusu ujao.

Operesheni hiyo imezinduliwa Jumatatu Februari 14 kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Wilaya na Halmashauri wakiwemo Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Wenyeviti wa Halmashauri na Meya wa Manispaa ya songea Wakuu wa Taasisi mbalimbali pamoja na wataalam wengine wa Halmashauri.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa anwani za makazi na postikodi kwenye Mtaa wa NMB na kukabidhi Kibao cha anwani kwa Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Songea Mkuu huyo wa Mkoa wa Ruvuma amewaomba wananchi kushiriki kikamilifu kwenye operesheni hiyo ili maeneo yote ya mitaa na vitongoji yaweze kuainishwa na kuingizwa kwenye mfumo maalum utakaorahisha utambuzi wa maeneo hayo ambapo pia ametoa maelekezo kuwa zoezi hilo kwa Mkoa wa Ruvuma liwe limekamilika ifikapo Aprili 30, mwaka huu 2022.

“Wananchi wote wa Mkoa wa Ruvuma tunao muda mfupi usiozidi mwezi mmoja na nusu na tayari msingi wa kazi umeshafanyika; huu ndio wakati wa kushirikiana vizuri kugatua maeneo ya mitaa na vitongoji tuyaelekeze yaingizwe kwenye ramani ya Mkoa, nchi na dunia”. Amesema RC Ibuge.

Aidha, RC Ibuge amempongeza na kumshukuru Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na serikali yake kwa maono yake hasa kipindi hiki nchi ikiwa inaelekea kwenye zoezi muhimu la sensa ya watu na makazi na kuongeza kuwa maandalizi ya sensa kwa mwaka huu yatategemea kwa kiasi kikubwa ukamilifu wa zoezi la utambuzi wa anwani za makazi na postikodi.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Juma Haji Juma akiwasilisha taarifa ya maandalizi ya utekelezaji wa zoezi hilo amesema tayari Halmashauri yake imeshatambulisha na kutoa elimu ya awali kwa Menejimenti ya Halmashauri (CMT), Madiwani, Kamati ya Usalama ya Wilaya na Watendaji wa Kata kupitia kikao cha Baraza la Madiwani cha tarehe 8 Februari, 2022 sambamba na kufanya uteuzi wa Mratibu wa Programu pamoja na Timu ya Ufuatiaji ngazi ya Halmashauri.

Imeandikwa na 

Salum Said, Songea Ruvuma

Tarehe 14 Februari, 2022

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI September 17, 2024
  • TANGAZO LA HESABU MBINGA DC July 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA MKATABA NAFASI YA MKUSANYA USHURU January 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA- DEREVA NAFASI 2 January 25, 2024
  • Tazama zote/kote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI KASHUSHURA ATOA MSISITIZO MATUMIZI YA NISHATI SAFI SHULENI

    February 15, 2025
  • MAAFISA TUME WATEMBELEA MBINGA DC

    January 08, 2025
  • WAANDISHI WASAIDIZI, WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WAPEWA ANGALIZO

    January 09, 2025
  • KASHUSHURA AWAPONGEZA WANANCHI UJENZI WA SHULE

    September 10, 2024
  • Tazama zote/kote

Video

UGAWAJI WA MKAA MBADALA
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Utumishi
  • Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Polisi Tanzania
  • Mamraka ya mapato Tanzania (TRA)

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ili kutufikia

Wasilina nasi

    MBINGA DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA

    Namba za simu: 2552640005

    SImu ya mkononi: PS 0754533018

    parua pepe: ded@mbingadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit