• Wasilina nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga District Council
Mbinga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • HISTORIA
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Afya
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maji
      • Community Development
      • Menejimenti ya Mipango na Takwimu
      • Mifugo
      • Agriculture,Cooperative and Irrigation
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
    • Kitengo
      • Habari, mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Investment
    • Makaa Ya Mawe
  • Huduma
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
  • Councillors/PM
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • UKURASA WA ELIMU SEKONDARI
    • Mbunge
      • Miradi iliyo inayofadhiliwa
      • Ratiba ya Mbunge
      • Ligi ya Mbunge
  • Miradi
    • Miradi
      • Miradi Mipya
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi ambayo haijakamilika
  • Chapisho
    • Miongozo
      • TEHAMA
    • Kanuni
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • TEHAMA
    • Idara
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Tarafa
    • Mbuji
      • KARIBUBU KATA YA MBUJI
      • Litembo
      • Kitura
      • Nyoni
      • Mpapa
      • Kata ya Kilangajuu
      • Maguu
      • Langiro
    • Kigonsera
      • Kigonsera
      • Kihangimahuka
      • Kitumbalomo
      • Matiri
    • Hagati
    • Mkumbi
    • Namswea
    • Mkumbi
      • Mkumbi
      • Kipololo
      • Ukata
      • Ngima
  • MIFUMO

RUVUMA COAL YAPONGEZWA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA UWAJIBIKAJI KWA JAMII

Tarehe ya kuwekwa: December 5th, 2023



Na Silvia Ernest,


Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe. Aziza Ally Mangosongo  ameipongeza  Kampuni ya uchimbaji Makaa ya Mawe Ruvuma  Coal Limited  kwa kwa kutekeleza mpango  wa uwajibikaji kwa Jamii (CSR) hatua ambayo inaleta  maendeleo  katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.


Ameyataka  makampuni mengine  yanayotekeleza  shughuli zao katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga kuiga mfano huo wa kushirikiana na Rais wa Jamhuri ya Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ya kuleta maendeleo nchini.


Mhe. Mangosongo ametoa pongezi hizo 5 Novemba 2023 katika hafla ya kukabidhi madawati 50  kati ya 270 pamoja na meza 5 za walimu Shule ya Msingi Paradiso  iliyopo Kata ya Ruanda  Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga iliyoambatana na upandaji miti katika viunga vya shule hiyo.


“Nitoe pongezi kwa  Kampuni ya Ruvuma Coal kwa kuweka mazingira rafiki na wezeshi  kwa wanafunzi hawa , utekelezaji huu  ni hatua mojawapo ya kuunga mkono  azma ya Mhe. Samia Suluhu Hassan ya kuimarisha na kuboresha  ufundishai na ujifunzaji nchini” Amebainisha


Amefafanua  kuwa utekelezaji huo umeainishwa katika  Sheria ya madini ya mwaka 2010 Sura no 123  imemtaka kila mwekezaji  kuwajibika katika shughuli za  maendeleo ya kijamii  katika  jamii inayomzunguka.


 Kwa upande wake Afisa  Maendeleo kutoka  Kampuni ya Ruvuma Coal Limited Bi. Aisha Hamis  ameeleza  kampuni hiyo imekuwa ikiwajibika  kutekeleza miradi mbalimbali  ya maendeleo katika vijiji viwili  vinavyozunguka mgodi  ambavyo ni Sara na Paradiso.


“ Katika  kutoa ajira na soko  kampuni jumla ya  wafanyakazi 135 wanaotoka katika Vijiji vya Sala na Paradiso,pia  imetoa fursa za masoko kwa wajasiriamali


Kampuni  Imeboresha Zahanati ya  Paradiso na kuanzisha ujenzi wa Zahanati mpya katika Kijiji cha Sala na  imejenga madarasa  2 na ofisi 1ya walimu Shule ya Msingi Paradiso" Amefafanua

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI September 17, 2024
  • TANGAZO LA HESABU MBINGA DC July 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA MKATABA NAFASI YA MKUSANYA USHURU January 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA- DEREVA NAFASI 2 January 25, 2024
  • Tazama zote/kote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI KASHUSHURA ATOA MSISITIZO MATUMIZI YA NISHATI SAFI SHULENI

    February 15, 2025
  • MAAFISA TUME WATEMBELEA MBINGA DC

    January 08, 2025
  • WAANDISHI WASAIDIZI, WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WAPEWA ANGALIZO

    January 09, 2025
  • KASHUSHURA AWAPONGEZA WANANCHI UJENZI WA SHULE

    September 10, 2024
  • Tazama zote/kote

Video

UGAWAJI WA MKAA MBADALA
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Utumishi
  • Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Polisi Tanzania
  • Mamraka ya mapato Tanzania (TRA)

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ili kutufikia

Wasilina nasi

    MBINGA DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA

    Namba za simu: 2552640005

    SImu ya mkononi: PS 0754533018

    parua pepe: ded@mbingadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit