Serikali kupitia Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga kwa kushirikiana na wananchi inaendelea kuimarisha miundombinu ya elimu ili kuboresha mazingira ya ujifunzaji na ufundishaji.
Ujenzi wa madarasa matatu na ofisi ya walimu katika shule ya Msingi Lupilinga ni moja ya mfano wa utekelezaji huo ambao umetekelezwa kupitia fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga pamoja na nguvu za wananchi.
Halmashauri imetoa shilingi Mil. 40 kwa ajili ya kuendeleza maboma ya madarasa ambayo yalijengwa kupitia nguvu za wananchi.
MBINGA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA
Namba za simu: 2552640005
SImu ya mkononi: PS 0754533018
parua pepe: ded@mbingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit