Vikundi 16 kutoka Kijiji cha Lihale Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga vinavyojishughulisha na biashara ya huduma ndogo ya fedha ( kuweka na kukopesha) wakipatiwa mafunzo na wataalam kutoka Idara ya Viwanda na Biashara pamoja na Idara Maendeleo ya Jamii 18 Oktoba 2023.
Lengo la mafunzo haya ni kuwaongezea uelewa wafanyabiashara hao namna bora ya kufanya biashara kwa mujibu wa sheria , katiba na miongozo.
Aidha kuwapa elimu ya namna bora ya kuwekeza fedha wanazozipata katika kuingeza pato la mtu mmoja mmoja na jamii kwa ujumla.
MBINGA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA
Namba za simu: 2552640005
SImu ya mkononi: PS 0754533018
parua pepe: ded@mbingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit