Bw. Stephen Sultan ( wa kwanza kushoto) ambae ni Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Arusha Meat Company Limited kinachomilikiwa na Halmashauri ya Jiji la Arusha akizungumza na Wataalam kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga tarehe 6 Novemba 2023 katika ziara ya wataalam hao iiyolenga kuongeza weledi wa namna bora ya kuanzisha na kuendesha Special Purpose Vehicle ( SPV).
MBINGA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA
Namba za simu: 2552640005
SImu ya mkononi: PS 0754533018
parua pepe: ded@mbingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit